Nimeumizwa na tukio hili

Nimeumizwa na tukio hili

Teh..teeh...teeehh.....!!
Tatizo nimeshakua mzee....
Ukiongeza na huu ushamba, ndo majanga tupu....
Loohh......!!

Ng'ombe hazeeki maini ati.......
Ushamba wako ningeuvumilia tu kwani ni bwana as long as tuko happy.......
 
Dah imeniumiza kwa kweli. Pole sana mkuu. Hakika wewe binafsi uli-play part yako vizuri, na kwa hilo hauna lawama juu yako. Mwenyezi Mungu akutie Nguvu katika hiki kipindi kigumu unachopitia.

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
 
Habari ya tukio la mtoto kujirusha kisimani imeandikwa au kuripotiwa na chombo chochote cha habari?
 
Pole sana ushiboy,
RIP mtoto.

Hakika umeumizwa japo kuna mengi ya kuzungumzwa
 
Last edited by a moderator:
Mi naona tatizo lako ni moja tu"kuchepuka"hayo mengine yoote ni series.

R I P mtoto mzuri

Hao jamaa wenye dada yao usiwaambie kitu,wakikuuliza wajibu,dada anakuja mwakani daily.mpaka atafutika vichwani mwao.pole sana.
 

Habari yako kama ni ya kweli basi kuna mtu anayestahili kushitakiwa na Jamhuri kwa kosa la kusababisha kifo....

Kwa mantiki hiyo ndio maana nimekuuliza kama tukio hili limeripotiwa popote...
 
Last edited by a moderator:
Teh..teeh...teeehh.....!!
Tatizo nimeshakua mzee....
Ukiongeza na huu ushamba, ndo majanga tupu....
Loohh......!!

Aaah nilikuwa nimeanza kuhuzunika kumbe najipeleka mwenyewe choo cha kike..! aliyefiwa hawi hivi tena na mtoto kipenzi(achilia mbali ukambo) Nijipongeze kwa kuperuziperuzi, otherwise story yako inaelimisha watoto wajihadhari sana na matatizo ya balehe na uvunjaji ungo unaopelekea hasira za hasara!!!
 
Habari yako kama ni ya kweli basi kuna mtu anayestahili kushitakiwa na Jamhuri kwa kosa la kusababisha kifo....

Kwa mantiki hiyo ndio maana nimekuuliza kama tukio hili limeripotiwa popote...
watu8 The thing is, nilimkadhi mtoto na nikaondoka. And whatever happened behind, I wasn't concerned. Nimepata taarifa kama yeyote ambavo angepata taarifa na nimeumizwa kwasababu nilikua nikiishi nae, pia nilimzoea. Kumbuka sina ninachoweza kufanya au kufuatilia kwasababu because baada ya pale niliendelea na mishe zangu pamoja na kusafiri here and there. She wasn't mikononi mwangu.
 
Last edited by a moderator:
Aaah nilikuwa nimeanza kuhuzunika kumbe najipeleka mwenyewe choo cha kike..! aliyefiwa hawi hivi tena na mtoto kipenzi(achilia mbali ukambo) Nijipongeze kwa kuperuziperuzi, otherwise story yako inaelimisha watoto wajihadhari sana na matatizo ya balehe na uvunjaji ungo unaopelekea hasira za hasara!!!

Nivema umechangia chochote na kuonyesha uwezo wako ki fikra.
That's why we dare talk openly
 
Hebu nyoosha maelezo ulikuwa unamfanyaje binti wa watu mpaka..akajiua kwa ajili yako....mkuu....??
 
Salam kwenu wana jamvi.

Mtanivumilia kwa urefu wa habari hii.

Niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mdada ambae alikua na mtoto mmoja, huku nami nilikuwa na watoto wawili (mapacha). Wakati wote wa mahusiano wetu tulikubaliana kuwapeleka watoto wetu wakasome kwenye shule moja na niliamua kua namlipia ada pia kama wanangu.

Na wakati wote wa mahusiano yetu tulikua tukiishi mbali mbali nikimaanisha kila mmoja akiwa nyumbani kwake.

Shida ilikuja baada ya kuhisi ninachepuka na mdada mwingine hali iliopelekea kutofautiana na kuvunja mahusiano yetu kabisa. Baada ya muda x-wangu alipata mc
humba na pasipo kuchelewa jamaa akamuoa na maisha yakaendelea.

Matatizo yalianza pale mume wa x-wangu alipogundua kua namlipia ada mtoto wa mke wake na kipindi cha likizo ya watoto waliporudi toka shule, yule mtoto wa x-wangu aligoma kwenda kwa mama yake na alikatalia kubaki nyumbani kwangu kwakua walikua tayari wamezoeana na watoto wangu, huku wakimuita dada kwani alikua amewazidi umri.

Hali hii ilianza kuleta mgogoro kwenye ndoa ya x- wangu hadi kupelekea yule jamaa kuanza kutoa maneno ya vitisho kwangu. Na wakati haya yakitokea kuhusu migogoro mimi sikuwepo Tanzania, zaidi nilikua nikipata taarifa kutoka kwa watu wa karibu.

Niliona isiwe tabu, nikaamua nimtext x- wangu kwamba nikirudi likizo nitamtoa mtoto wake shuleni na nitamrudisha kwake maana sihitaji wema uniponze.

Kipindi niliporudi likizo nilifanya taratibu zote na nikamfuata mtoto shuleni na nikaenda kumkabidhi kwa wazazi wa x, mbele ya mjumbe, x na mumewe na wazazi wa x. Pia niliomba tukabidhiane kwenye maandishi kwa sababu ya kujiweka upande salama.

Cha kushangaza mtoto yule (binti) alilia sana na huku aking'ang'ania kwamba nisimuache, hakika mtoto yule alilia hadi wote tukajiskia huzuni kubwa. Ilibidi nimdanganye mtoto kwamba nitamfuata baada ya kuwasalimia bibi na babu yake.

Siku ya tatu sasa imepita, naambiwa binti (mtoto) yule amefariki dunia kwa kujirusha kwenye kisima cha maji.

HAKIKA NIMEUMIZWA SANA NA TUKIO HILI

Hakika una kesi ya kujibu hapo kwenye bold. Usingechepuka huyo mwenzako asingekupiga kibuti na mtoto angekuwa salama hadi amalize shule. Shame on you!
 
Back
Top Bottom