Dah! Hadi nimelia!! Ina mana hao wazazi wa marehemu mtoto walishindwa hata kuelewa hisia za mtoto jamani!! Laana ya huyo mtoto itawatafuna sana!! Wakajute kabisa! Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi-amina
Nimekuelewa mkuu, lakini kumbuka mtoto yule sikuwa hakua wakwangu na hatukua na kiunganishi chochote zaidi ya kipindi nilipokua kwenye mahusiano na mama yake.
pia niliamua kumrudisha kwa mamayake ili nibaki pasipo vikwazo ukizingatia pia mama wa binti alikua tayari ameolewa na pengine mimi kuendelea kukaa na mtoto wao ingepelekea migogoro kuzidi ndani ya ndoa yao.
mwisho niseme tu kwamba hakuna alie taraji kama hili lingetokea.