ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,564
- 119,620
ushiboy na x mna makosa makubwa sana.
1. Kitendo cha kuwahusisha/kuwaingiza watoto katika mahusiano yenu ili hali nyie wenyewe hamjui direction ya hayo mahusiano, nimlaumu zaidi x wako kwa kuku introduce kwa bintie wakati hajakufahamu vizuri. Ni vibaya sana kuwa na uhusiano then kwa haraka mnaingiza watoto kwenye mahusiano bila kujadili kwa kina mustakabali wa nyie kuwa pamoja.
2. Wanawake mjifunze hapa, kuwaingiza mahawara wenu katika maswala ya watoto wenu, kabla ya kuhakiki future yenu na hao mahawara.
3. Hii story bado haijakamilika, mie naweza kuhisi ushiboy alishikwa na wivu na ndio maana karudisha mtoto, japo ni sawa kufanya hivyo.
Azawaiz poleni sana..

Last edited by a moderator: