Nimeumaliza mwendo kwenye haya mapenzi

Nimeumaliza mwendo kwenye haya mapenzi

Alubati

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Posts
6,784
Reaction score
15,586
Kati ya kosa kubwa ambalo Mungu alifanya ni kuutoa ubavu wetu wa kushoto kuwaumba hawa viumbe.

Wanawake ni watu wabaya sana! Nimepigwa tukio ambalo hata siamini kama wife anaweza kufanya, nashindwa kuandika, mikono inatetemeka.

Natamani nimzimishe kwa kumbana koo na meno kama simba anavyoua windo lake.

Hakika nimedandia mtumbwi wa vibwengo.

I'm done with women!

1662530109117.png

Duuuh , eti mtu anaandika kabisa "kati ya kosa Mungu alifanya???
Siriazlyyyy??

Not seriously na siungani nae
But kuna wakati unawaza hadi unakosa majibu
Pata picha unamtunza mkeo 100%
Una struggle had mwisho
Afu mkeo analiwa na bodaboda wake ...

Kuna point unafikia unawaza had nje na kujikuta umemkufulu MUNGU
Thus unahitaji kutubu mala nyingi ya kadiri unaweza.
 
Not seriously
But kuna wakati unawaza hadi unakosa majibu
Pata picha unamtunza mkeo 100%
Una struggle had mwisho
Afu mkeo analiwa na bodaboda wake ...

Kuna point unafikia unawaza had nje na kujikuta umemkufuli MUNGU
Thus unahitaji kutubu mala nyingi ya kadiri unaweza.
Mwanamke huwa anataka ambacho huna, tuwaelekeze mara ngapi?
 
Not seriously na siungani nae
But kuna wakati unawaza hadi unakosa majibu
Pata picha unamtunza mkeo 100%
Una struggle had mwisho
Afu mkeo analiwa na bodaboda wake ...

Kuna point unafikia unawaza had nje na kujikuta umemkufulu MUNGU
Thus unahitaji kutubu mala nyingi ya kadiri unaweza.
Amen!
 
Kati ya kosa kubwa ambalo Mungu alifanya ni kuutoa ubavu wetu wa kushoto kuwaumba hawa viumbe.

Wanawake ni watu wabaya sana!
Nimepigwa tukio ambalo hata siamini kama wife anaweza kufanya, nashindwa kuandika ,mikono inatetemekaaa...

Natamani nimzimishe kwa kumbana koo na meno kama simba anavyoua windo lake.

Hakika nimedandia mtumbwi wa vibwengo.

I'm done with women!!..
Pole sana ndugu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom