Nimetumbuliwa jipu jamani,sijapata mshahara

Mkuu umesema mmejadiliana mkafikia mwafaka we subiri tu mpunga utaingia kwenye accounts
 
Watahukumiwa na kuwekwa wanapostahiki waliouwa na waliouliwa.
ila watu na dini zao wajinga yaani mtu anajitoa muhanga unadhani Mungu atawapokea?na je dini yetu inatufundisha kujitoa muhanga ni baraka?

swissme
 
Kuna majibu unayataka toka kwa faiza foxy kila akikukwepa umo tu aloo leo.......
 
ila watu na dini zao wajinga yaani mtu anajitoa muhanga unadhani Mungu atawapokea?na je dini yetu inatufundisha kujitoa muhanga ni baraka?

swissme

Iulize biblia:

8 usimkubalie wala usimsikize; wala jicho lako lisimwonee huruma, wala usimwache, wala usimfiche;
9 mwue kweli; mkono wako na uwe wa kwanza juu yake katika kumwua, na baadaye mikono ya watu wote.
10 Nawe mtupie mawe hata afe; kwa kuwa alitaka kukupotoa na Bwana, Mungu wako aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
11 Na Israeli wote watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.
 
kama ni kweli ina maana tunafundishwa kuuwa sio kupendana.ila tulidanganywa hatukwenda shule Elimu yetu Duni.bismilia cool zini sister haki.maana yake unaweza kumzini sister ni haki akikubali je ni kweli?

Bidada kakimbia kwasabu kaona Kuna kitu unamtafuta, kakuacha juu ya mataa
 
Bidada kakimbia kwasabu kaona Kuna kitu unamtafuta, kakuacha juu ya mataa
Iulize biblia:

8 usimkubalie wala usimsikize; wala jicho lako lisimwonee huruma, wala usimwache, wala usimfiche;
9 mwue kweli; mkono wako na uwe wa kwanza juu yake katika kumwua, na baadaye mikono ya watu wote.
10 Nawe mtupie mawe hata afe; kwa kuwa alitaka kukupotoa na Bwana, Mungu wako aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
11 Na Israeli wote watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.

Me/KE.

SWISSME
 
Uzi wa MSHAHARA umegeuzwa uzi wa ISLAM VS. CHRISTIANITY
 
Habari wakuu
Jana nilipata taarifa kuwa mishahara tayari lakini niliangalia kwenye akaunti nikajibiwa salio halitoshelezi,kwenye akaunti ya mshahara mara nyingi natoa pesa zote.

Leo nimeamua kwenda kwa Afisa utumishi amenijibu kuwa mimi ni mtumishi hewa, tumejadili pale ili kuweka mambo sawa, cha ajabu ameniambia niondoke mshahara unaingia ndani ya muda mfupi. Muda huu naangalia jibu ni salio halitoshelezi
Nataka kujua haki zangu kuhusu tatizo hili.

Je ni haki kuzuia mshahara bila kujiridhisha kama mimi ni mtumishi halali au hewa!

Ushauri tafadhali

Huo ni michezo michafu ya kihasibu hapo Mshahara wako ameingiziwa mtu hewa alafu wewe ambae si hewa watakuhakiki tena then watakupa. Shikamoo wahasibu
 
tunaomba mlejesho ni kweli wewe kilikuwa jipu?

swissme
 
Kama ni mtumishi halali mshahara wako utalipwa hakuna haja ya ku-panic,fuatilia.Ni kosa tu limetokea.Ila kama ilikuwa dili kati yako na afisa utumishi sepa.Mwishoni ukamatwe bure?!

Back
Top Bottom