Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,079
- 6,911
Habari wakuu
Jana nilipata taarifa kuwa mishahara tayari lakini niliangalia kwenye akaunti nikajibiwa salio halitoshelezi,kwenye akaunti ya mshahara mara nyingi natoa pesa zote.
Leo nimeamua kwenda kwa Afisa utumishi amenijibu kuwa mimi ni mtumishi hewa, tumejadili pale ili kuweka mambo sawa, cha ajabu ameniambia niondoke mshahara unaingia ndani ya muda mfupi. Muda huu naangalia jibu ni salio halitoshelezi
Nataka kujua haki zangu kuhusu tatizo hili.
Je ni haki kuzuia mshahara bila kujiridhisha kama mimi ni mtumishi halali au hewa!
Ushauri tafadhali