Nimetumbuliwa jipu jamani,sijapata mshahara

Nimetumbuliwa jipu jamani,sijapata mshahara

Shida ilikuwa nini, haya mkafanye kazi sasa. Hakuna mshahara wa bure
Sasa naamini ilikuwa bahati mbaya
Kumbe mshahara usipoingia kuna kuchanganyikiwa na kuishiwa nguvu
 
napata mshahara wangu kupitia benki ya posta cha ajabu mpaka saiv salary haisomi nimekutanana na walimu kibao hapa benk ya posta dodoma nao wanalalamika kucheleweshewa mshahara ilihari walimu wengine wanaopokelea kupitia CRDB, NMB na kwingineko wameshalamba mpunga wao, hawa POSTA nao ni jipu wasipoangalia wateja watawakimbia
 
Tayari pesa imejaa kwenye Akaunti[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hongera tatizo lilikuwa nini.......
 
Tayari pesa imejaa kwenye Akaunti[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hongera Na sikukuu njema, maana ulilalamika sana
 
Asante
Kuna uzembe ulifanyika wakati wanatafuta watumishi hewa,namimi nikawekwa kundi la watumishi hewa
VIP sasa? Nirushie angalau ya mbili barid mtu wangu, nipo juu ya mawe mbaya,
 
Polee mkuu....utakua mfanyakazi hewa wa 1391 BOT nn?
 
Back
Top Bottom