Nimetubu ila doa la dhambi hii linanitesa sana

Nimetubu ila doa la dhambi hii linanitesa sana

Hongera kwa kutubia na kuacha huo uchafu uliofanya
Mkuu umeruhusu hilo pepo la usodoma liingine nyumbani kwako , nakushauri ombea sana familia yako Mungu asijekukupa mtihani huo.
Kuna kisa cha kweli mtu na mkewe walikua wanafanya usodoma tena kwa siri lkn mtoto wake wa kiume ndie aliyekuja kutoa siri hyo
Kwani yeye aliwekwa ndani na kidume chenzie mwaka wa pili akiwa chuo.
 
Somethings nevers change, Haya mambo yanazidi kuwa Makubwa kutokana na kuwepo kwa Platforms zinazowapa fursa kuyakuza, Wayback yalikuwapo ila yalikosa Platform ya kuyapambanua, nowdays platform ni nyingi sana kwa hawa watu ndio maana hata wasio mashoga nao wanahamasika kuingia humo,

Iko hivi ukiwa na rafiki shoga aidha wawili kati ya marafiki zako ni mashoga basi jiandae kuwa shoga wa tatu kama sio bahasha,
Kama matured Male teenage nimepitia kama inavyopasa wanadamu wengine kupitia sijawahi kuwa na ugumu kiasi cha kumtamani mwanaume mwenzio, ni sawa na kuwa na njaa kali kiasi cha kutamani kumla binadamu mwenzio kama kitoweo, Thata is the highest degree of Madness, ndio maana akheri wala nyeto kuliko kadhia hii, that is Devolish mind and not horny,
Respect does not make history, kuna wadada wanajiuza, kuna sabuni and kuna maombi how come someone chooses to brush his fellow man???
Ilianza ikatokomezwa, ikarudi na ikapigwa marufuku, na sasa imeruhusiwa nahofia itakuja kuwa LAZIMA in the future.
DON'T JUDGE OTHERS FOR SINNING DIFFERENT FROM YOU. At the end of the day kila mtu anajua alipitia wapi hadi akajikuta anatenda dhambi anayoifanya. You have no moral right of putting limit to sinning unless you are PERFECT
 
Yani hao wanaokubali kupinduliwa sijui wanawaza nini[emoji849][emoji849].

Mm mtu akiniletea hbr hizo nitamwambia nimsokomezee vijiti huko kunako akiona raha basi ndo anipindue.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha umenikumbusha siku ya kwanza kuchumisho mboga aisee mwanzo mwisho sina raha , nahofia asijejifanya kakosea njia😀😀😀
 
kitororondo,]
Imani ni kitu cha ajabu sana. Kwanza umesema, Umetubu lakini bado kuna kidonda flan hivi kana kwamba Mungu hajakusamehe. Hilo ndio kosa lako. Kama kweli umetubu, hebu jisamehe kwanza na usahau. Ukiendelea kuwakumbuka hao mabaradhuli, kuna siku utakutana naye halafu naye akutamani. Utajikuta umerudia jamba ambalo sasa kwako itakuwa mauti yako.
Kimbia kabisa maeneo hayo wala mawazo yasikujie tena hata kwa utani wala kuhadithia watu ujinga huo. Wengine hudhani ni ufahari kujitapa kuwa uliwahi kuwararua wanaume wenzio marinda yao. Kwa wajinga huwa wanakusifu ila ujue huko ndio kujimaliza,
Kuhusu toba, ukiisha tubu Mungu yupo tiyari kukusamehe na hakuna laana tena kwani umesamehewa. Asikutishe mtu ati wanao watazaliwa wa kiu hiyo. Sio kweli hata kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom