Moja ya mambo ambayo nimekuwa nikiyapinga na kuyakemea kwa ukali ni hili la ushoga. Hivi inakuwaje mwanaume kamili kumtamani mwanaume mwenzio?
Unapataje hisia na kumchakata mwanaume mwenzio?
Ni jambo chafu na baya lichukizalo mbele ya mwenyezi Mungu na katika jamii kifupi ni tendo lililojaa laana kubwa
Mwenyenzi Mungu atuepushie na kulinda watoto wetu wa kiume.
Basi bhana story iko hivi kuanzia miaka ya 2007 nikiwa chalii ujana umepamba moto na sina mpangilio mzuri wa mtongozo na ukame umenizidia kulikuwa na kajamaa kitaa kazuri zuri na kana mambo ya kike kike na story kitaa ni kanamegwa bhana.
Bhasi sikumoja nikakutana nako njiani dah! Sijui pepo gani likaniingia nikawa na ujasili nikamwaga saundi kibabe kama natongoza demu mwisho kamsela kakatiki kwa shart nisiwambie washkaji kijiweni
Ukweli nilikatafuna na gafla Nikapendezewa na mchezo huo japo nilikuwa Nikimaliza gemu moyo unaniuma na kukosa amani ila genye zikipanda nasahau majuto yote navuta chombo geto nakata kiu.
2014 ndani ya jiji la Dar kijana nikaingia, kwakweli cha kwanza nikafungua acount fake FB then nikajichanganya kwenye magroup ya gays shetani mwema bhana nikapata bottoms wengi mpaka nikawa nachakugua wakula tu.
Japo nilikuwa na bahati na mademu tena nikawatafuna wengi mixer majimama ila nilipopata nafasi navuta btms nachapa.
Ila ukinikuta ninavyowaongelea vibaya nakukemea tabia hiyo unaweza ukanipa Ubalozi wa kutokomeza ushoga.
Mungu mwema baada ya maombi Mungu kanifungua ufahamu sasa sitamani tena mambo hizo ila nimebaki na doa baya sana moyoni.
Ukipata nafasi ombea taifa maana kama hujajua kuna maelfu ya gays Tz usipoomba Mungu atukinge na balaa hili aise huko mbeleni utajuta maana kwa namna moja au nyingine utaathiriwa tu na ushenzi huu.
Sent using
Jamii Forums mobile app