Nimetubu ila doa la dhambi hii linanitesa sana

Nimetubu ila doa la dhambi hii linanitesa sana

Na mara nyingi watu wa aina yako mnakuwa wakali sana dhidi ya ushoga!

Ndio nyie mmejaa humu mnalaani na kunukuu kila aya ya maandiko ya biblia kuonesha ni jinsi gani mnachukizwa na ushoga!

Lakini kumbe mnafirwa na kujihusisha na ushoga na ufiraji!

Mnapokemea ushoga ni "projection" tu ya namna mnavyojihukumu mioyoni mwenu pamoja na kutaka kujificha identities zenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa siku kama 2 au 3 umekuwa na thread kadhaa za kuzungumzia hizi habari za ngono, nafikiri kuna ujumbe unataka kutufikishia ila unashindwa pa kuanzia.

Baada ya kuona hii thread nimeanza kupata picha ya nini unahitaji kutangaza.
 
Kwa siku kama 2 au 3 umekuwa na thread kadhaa za kuzungumzia hizi habari za ngono, nafikiri kuna ujumbe unataka kutufikishia ila unashindwa pa kuanzia.

Baada ya kuona hii thread nimeanza kupata picha ya nini unahitaji kutangaza.
Mi ninachofanya ni kupunguza baadhi mzigo wa siri nyingi zilizojaa moyoni kutokana na mambo halisi niliyoyapitia kama kuna jingine umeliona weka mezani ila nimehisi Jf ndio mahali sahihi pakungupunzia siri hizi ambazo huenda mpaka nakufa nisingethubutu kumueleza mtu yeyote ,kwa jinsi watu wanaonizunguka wanavyo niheshimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi ninachofanya ni kupunguza baadhi mzigo wa siri nyingi zilizojaa moyoni kutokana na mambo halisi niliyoyapitia kama kuna jingine umeliona weka mezani ila nimehisi Jf ndio mahali sahihi pakungupunzia siri hizi ambazo huenda mpaka nakufa nisingethubutu kumueleza mtu yeyote ,kwa jinsi watu wanaonizunguka wanavyo niheshimu

Sent using Jamii Forums mobile app

Tone, posts unazoandika baada ya thread hazisadifu hiki.

Binafsi nimekuelewa unakoelekea.
 
Katika mambo ambayo huwa moyo unanikatalia moja wapo ni hili,kuna rafiki yangu mmoja ana asili ya kiarabu na ana dada zake wazuri tu mashombe shombe,katika hali ya kutokujua nikawa nachati nae kama kawaida,nikashangaa akaniambia amenimiss ,du! ...sa nikajiuliza hii namna ya kumumiss mtu katika desturi za kiafrika neno kumiss ni zito kidogo

Nikawa sina papara nikamwambia nimekumiss pia,mara akaniambia njoo basi tulale ,ooooh ....nikajua hapa kuna kitu na sikuwahi kumfikiria hivyo huyo bwana mdogo kuwa anaweza kuwa na tabia za kiushitwani namna hiyo
Mimi nikamwambia ,vp utanipa! ,akasema nitakupa ,ndo akaanza kujinadi mara anamatako lain sitachelewa kukojoa kwa kuwa ni mm nitapiga kavu tu ili nienjoy pia ananipenda mda mrefu tu na alikuwa na bwana wameachana,mambo mengi sana ambayo sikutaraji kabisa.Kiukweli nilimshangaa sana japo sikutaka kumuonyesha mshangao wangu ila nazani baadae alikuja kujua kuwa mimi si mdau wa hayo mambo kwa mana kadri anavyo fanana na dada zake ningemalizi hasira kwake

Mimi nilikuwa nawatolea macho dada zake kumbe na yeye anasokomezewa,baada ya mda akaanza kunitumia picha za matako kajibinua mara yupo uchi,nikasema dunia inaelekea korongoni.Nilianza kumpotezea na kutokupokea simu zake,alilalamika sana ila siku izi naona ameacha kunisumbua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mchaga mimi wala sina vinasaba vya uchaga@Wyatt Mathewson,

Although what people do in their bedrooms is none of my business![/QUOTE]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kitororondo,
Somethings nevers change, Haya mambo yanazidi kuwa Makubwa kutokana na kuwepo kwa Platforms zinazowapa fursa kuyakuza, Wayback yalikuwapo ila yalikosa Platform ya kuyapambanua, nowdays platform ni nyingi sana kwa hawa watu ndio maana hata wasio mashoga nao wanahamasika kuingia humo,

Iko hivi ukiwa na rafiki shoga aidha wawili kati ya marafiki zako ni mashoga basi jiandae kuwa shoga wa tatu kama sio bahasha,
Kama matured Male teenage nimepitia kama inavyopasa wanadamu wengine kupitia sijawahi kuwa na ugumu kiasi cha kumtamani mwanaume mwenzio, ni sawa na kuwa na njaa kali kiasi cha kutamani kumla binadamu mwenzio kama kitoweo, Thata is the highest degree of Madness, ndio maana akheri wala nyeto kuliko kadhia hii, that is Devolish mind and not horny,
Respect does not make history, kuna wadada wanajiuza, kuna sabuni and kuna maombi how come someone chooses to brush his fellow man???
Ilianza ikatokomezwa, ikarudi na ikapigwa marufuku, na sasa imeruhusiwa nahofia itakuja kuwa LAZIMA in the future.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom