Nimetubu ila doa la dhambi hii linanitesa sana

Nimetubu ila doa la dhambi hii linanitesa sana

kitororondo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2018
Posts
597
Reaction score
717
Moja ya mambo ambayo nimekuwa nikiyapinga na kuyakemea kwa ukali ni hili la ushoga. Hivi inakuwaje mwanaume kamili kumtamani mwanaume mwenzio?

Unapataje hisia na kumchakata mwanaume mwenzio?

Ni jambo chafu na baya lichukizalo mbele ya mwenyezi Mungu na katika jamii kifupi ni tendo lililojaa laana kubwa

Mwenyenzi Mungu atuepushie na kulinda watoto wetu wa kiume.

Basi bhana story iko hivi kuanzia miaka ya 2007 nikiwa chalii ujana umepamba moto na sina mpangilio mzuri wa mtongozo na ukame umenizidia kulikuwa na kajamaa kitaa kazuri zuri na kana mambo ya kike kike na story kitaa ni kanamegwa bhana.

Bhasi sikumoja nikakutana nako njiani dah! Sijui pepo gani likaniingia nikawa na ujasili nikamwaga saundi kibabe kama natongoza demu mwisho kamsela kakatiki kwa shart nisiwambie washkaji kijiweni

Ukweli nilikatafuna na gafla Nikapendezewa na mchezo huo japo nilikuwa Nikimaliza gemu moyo unaniuma na kukosa amani ila genye zikipanda nasahau majuto yote navuta chombo geto nakata kiu.

2014 ndani ya jiji la Dar kijana nikaingia, kwakweli cha kwanza nikafungua acount fake FB then nikajichanganya kwenye magroup ya gays shetani mwema bhana nikapata bottoms wengi mpaka nikawa nachakugua wakula tu.

Japo nilikuwa na bahati na mademu tena nikawatafuna wengi mixer majimama ila nilipopata nafasi navuta btms nachapa.

Ila ukinikuta ninavyowaongelea vibaya nakukemea tabia hiyo unaweza ukanipa Ubalozi wa kutokomeza ushoga.

Mungu mwema baada ya maombi Mungu kanifungua ufahamu sasa sitamani tena mambo hizo ila nimebaki na doa baya sana moyoni.

Ukipata nafasi ombea taifa maana kama hujajua kuna maelfu ya gays Tz usipoomba Mungu atukinge na balaa hili aise huko mbeleni utajuta maana kwa namna moja au nyingine utaathiriwa tu na ushenzi huu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wa kilinge maneno gani ya kulushana Roho tena,uzuri hakuna niliyemlazimisha wala kumfunza michezo hiyo wote nimekuta wakiwa wamenza huko nisikokujua so ninahakika hakuna anung'unikaye na kujuta kwa ajiri yangu.

Nipo kwenye maombi ya utakaso kutakasa kizazi chakwanza mpaka cha nne Mungu nimwaminifu atatazama kujuta kwangu na kunikinga na shari zote,ninaamini na ninakiri hayatakuwa hayo juu ya kizazi changu (kwani na huku karma inahusikaga Mkuu????)
Omba sana Mungu asikujaalie watoto wa kiume utaona uchungu wake siku ukiona viashiria vya ushoga kwao

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mara nyingi wanaoingia kwenye michezo hii kuna siku atashawishika ajue ni raha gani wanayoipata hadi wakubali, kwahiyo kwa kuwa na yeye chombo anacho kama wenzake atafanya utafiti ajiridhishe, ila sio rahisi mtu akubali hapa hadharani, ila ukweli ni kwamba ukiona mtu anahadithia ameshawafanya wengine mara nyingi ,ni lazima na yeye alishafanywa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom