Nimetubu ila doa la dhambi hii linanitesa sana

Nimetubu ila doa la dhambi hii linanitesa sana

Moja ya mambo ambayo nimekuwa nikiyapinga na kuyakemea kwa ukali ni hili la ushoga. Hivi inakuwaje mwanaume kamili kumtamani mwanaume mwenzio?

Unapataje hisia na kumchakata mwanaume mwenzio?

Ni jambo chafu na baya lichukizalo mbele ya mwenyezi Mungu na katika jamii kifupi ni tendo lililojaa laana kubwa

Mwenyenzi Mungu atuepushie na kulinda watoto wetu wa kiume.

Basi bhana story iko hivi kuanzia miaka ya 2007 nikiwa chalii ujana umepamba moto na sina mpangilio mzuri wa mtongozo na ukame umenizidia kulikuwa na kajamaa kitaa kazuri zuri na kana mambo ya kike kike na story kitaa ni kanamegwa bhana.

Bhasi sikumoja nikakutana nako njiani dah! Sijui pepo gani likaniingia nikawa na ujasili nikamwaga saundi kibabe kama natongoza demu mwisho kamsela kakatiki kwa shart nisiwambie washkaji kijiweni

Ukweli nilikatafuna na gafla Nikapendezewa na mchezo huo japo nilikuwa Nikimaliza gemu moyo unaniuma na kukosa amani ila genye zikipanda nasahau majuto yote navuta chombo geto nakata kiu.

2014 ndani ya jiji la Dar kijana nikaingia, kwakweli cha kwanza nikafungua acount fake FB then nikajichanganya kwenye magroup ya gays shetani mwema bhana nikapata bottoms wengi mpaka nikawa nachakugua wakula tu.

Japo nilikuwa na bahati na mademu tena nikawatafuna wengi mixer majimama ila nilipopata nafasi navuta btms nachapa.

Ila ukinikuta ninavyowaongelea vibaya nakukemea tabia hiyo unaweza ukanipa Ubalozi wa kutokomeza ushoga.

Mungu mwema baada ya maombi Mungu kanifungua ufahamu sasa sitamani tena mambo hizo ila nimebaki na doa baya sana moyoni.

Ukipata nafasi ombea taifa maana kama hujajua kuna maelfu ya gays Tz usipoomba Mungu atukinge na balaa hili aise huko mbeleni utajuta maana kwa namna moja au nyingine utaathiriwa tu na ushenzi huu.


Sent using Jamii Forums mobile app
Pole brother..... Endelea kusali sana

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mmmh kijana ulikua na moyo jinsi tako la kuime lilivyo gumu muuni bado tu unapasua dash na harufu je au ndo iliyokuwa inakupa motisha

ILA ASIKWAMBIE MTU MUNGU NI MWINGI WA REHEMA WALA HAWEZI KUKUADHUBU KWA KOSA HILO ILIMRADI UNAMUOMBA KWA MOYO WAKO WOTE NA KUKIRI MBELE ZAKE WE AMINI UKOO WAKO PAMOJA NA WEWE MWENYEWE UMETAKASWA KUMBUKA KUWEKA JICHO LAKO LA ROHONI MBELE MAANA SHETANI YUPO KUTAFUTA UDHAIFU WAKO AKUANGUSHE USITOKE UWEPONI PA MUNGU WEWE TAZAMA WAPI MWISHO WA MAMBO YOTE YA DUNIA HII
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom