Lennovo core i5
Member
- Dec 4, 2019
- 59
- 101
Ndio, yy n nan a**re wenzie yeye asi**rwe
Ndio, yy n nan a**re wenzie yeye asi**rwe
Siweki Limitation, wala sijitakasi kuwa mimi ni msafi kuliko wengine, pengine yaweza kuwa mie ni mchafu zaidi, ila going beyond the ordinary mistakes can't be soften the words for it.DON'T JUDGE OTHERS FOR SINNING DIFFERENT FROM YOU. At the end of the day kila mtu anajua alipitia wapi hadi akajikuta anatenda dhambi anayoifanya. You have no moral right of putting limit to sinning unless you are PERFECT
No matter the economy of the Jungle is,the lion shall never Eat Grass.DON'T JUDGE OTHERS FOR SINNING DIFFERENT FROM YOU. At the end of the day kila mtu anajua alipitia wapi hadi akajikuta anatenda dhambi anayoifanya. You have no moral right of putting limit to sinning unless you are PERFECT
A lion is a carnivores, their digestive system was not designed to support the digestion of grasses. On the other side, anal sex is still anal regardless of the participant's gender. By the way haina haja ya malumbano maana ni jeuri ya uzima inakudanganya, siku ukitembelea magerezani you are going to swallow your own pride and words.No matter the economy of the Jungle is,the lion shall never Eat Grass.
Huwa wanapewa mafao ?Hongera kwa kuacha mkuu....Pambana na vishawishi vyote vyakuurudia huo uchafu ndg. Mzibua mitara mstaafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
C
I never set the watch to the sun kisha nianze tabiri muda kwa kivuli
Halafu wote wanapinga [emoji3]Nyuzi Kama hizi zinakua na wachangiaji wengi kweli..
Dhambi ni dhambiSiweki Limitation, wala sijitakasi kuwa mimi ni msafi kuliko wengine, pengine yaweza kuwa mie ni mchafu zaidi, ila going beyond the ordinary mistakes can't be soften the words for it.
Haina uhalisia kama Toba ya kweli ilifanyika.Omba sana Mungu asikujaalie watoto wa kiume utaona uchungu wake siku ukiona viashiria vya ushoga kwao@kitororondo,
Jr[emoji769]
Ndio jamii yetu hiiNaomba kuwa msomaji tuu....
Ila nimegundua Unafiki ni mkubwa mno
Wanasaga what goes around come around !! Kiukweli kama kusamehewa utasamehewa ila jua kuwa italipwa kwa damu yako na wewe utakuwa hai ukishuhudia.Mzee wa kilinge maneno gani ya kulushana Roho tena,uzuri hakuna niliyemlazimisha wala kumfunza michezo hiyo wote nimekuta wakiwa wamenza huko nisikokujua so ninahakika hakuna anung'unikaye na kujuta kwa ajiri yangu.
Nipo kwenye maombi ya utakaso kutakasa kizazi chakwanza mpaka cha nne Mungu nimwaminifu atatazama kujuta kwangu na kunikinga na shari zote,ninaamini na ninakiri hayatakuwa hayo juu ya kizazi changu (kwani na huku karma inahusikaga Mkuu????)
Sent using Jamii Forums mobile app
Itatokea na utakuwepo UKIONA kwa macho yako mawili ili na wewe uumie , na kama unajidanganya kuwa eti hukumlazimisha mtu na wewe wa kwako hatalazimishwa bali atalazimisha mwenyewe, mkuu kabla haujafanya kitu angalia na outcome yake kwanza USISINGIZIE UJANA.Nakataa katika jina la Yesu haitakuwa hivyo tangu kizazi changu cha kwanza mpaka cha nne
Sent using Jamii Forums mobile app