Nimetubu ila doa la dhambi hii linanitesa sana

Nimetubu ila doa la dhambi hii linanitesa sana

Mambo ya sodoma na gomora yameshatabiriwa kurudi tena kwa kasi kuliko na ndio ilivyo sasa

Labda kama wewe ni Kiranga unajidai huamini katika haya ila ukweli hubaki palepale hata watu mpige kelele vipi yanaendelea kushamiri kwa nguvu kubwa
kwei najisikia vibaya sana, naongea kutoka moyoni kwa roho na kweli, Wanaume tupo wachache lakini idadi inazidi kupunguzwa, asee i huzuni kubwa sana mambo kama haya yamekuwa na mashabiki wengi sana, Nakumbuka timu ya liverpool iliweka alama ya upinde wa mvua kiashiria wanasupport mapenzi ya jinsia moja yani ni huzuni asee watu wengine walikuwa wanatetea mpaka, ila haya yana mwisho tuu, tumuogope Mungu wakuu mambo ya sodoma na gomora yanini zama hizi, sasa kazi ya kuijaza dunia waliyopewa adam na hawa watafanya kina nani? asee
 
Mungu atuepushie na haya mambo na kwa vile hatukubali Hali halisi ukweli no kwamba Hali ni mbaya sn w***s***nge ni wengi sn sn mitani na makrabu ktk magrop face book yani kwa kuwa ni wengi wanafanya kwa ucili tu ila Hali ni mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya mambo ambayo nimekuwa nikiyapinga na kuyakemea kwa ukali ni hili la ushoga. Hivi inakuwaje mwanaume kamili kumtamani mwanaume mwenzio?

Unapataje hisia na kumchakata mwanaume mwenzio?

Ni jambo chafu na baya lichukizalo mbele ya mwenyezi Mungu na katika jamii kifupi ni tendo lililojaa laana kubwa

Mwenyenzi Mungu atuepushie na kulinda watoto wetu wa kiume.

Basi bhana story iko hivi kuanzia miaka ya 2007 nikiwa chalii ujana umepamba moto na sina mpangilio mzuri wa mtongozo na ukame umenizidia kulikuwa na kajamaa kitaa kazuri zuri na kana mambo ya kike kike na story kitaa ni kanamegwa bhana.

Bhasi sikumoja nikakutana nako njiani dah! Sijui pepo gani likaniingia nikawa na ujasili nikamwaga saundi kibabe kama natongoza demu mwisho kamsela kakatiki kwa shart nisiwambie washkaji kijiweni

Ukweli nilikatafuna na gafla Nikapendezewa na mchezo huo japo nilikuwa Nikimaliza gemu moyo unaniuma na kukosa amani ila genye zikipanda nasahau majuto yote navuta chombo geto nakata kiu.

2014 ndani ya jiji la Dar kijana nikaingia, kwakweli cha kwanza nikafungua acount fake FB then nikajichanganya kwenye magroup ya gays shetani mwema bhana nikapata bottoms wengi mpaka nikawa nachakugua wakula tu.

Japo nilikuwa na bahati na mademu tena nikawatafuna wengi mixer majimama ila nilipopata nafasi navuta btms nachapa.

Ila ukinikuta ninavyowaongelea vibaya nakukemea tabia hiyo unaweza ukanipa Ubalozi wa kutokomeza ushoga.

Mungu mwema baada ya maombi Mungu kanifungua ufahamu sasa sitamani tena mambo hizo ila nimebaki na doa baya sana moyoni.

Ukipata nafasi ombea taifa maana kama hujajua kuna maelfu ya gays Tz usipoomba Mungu atukinge na balaa hili aise huko mbeleni utajuta maana kwa namna moja au nyingine utaathiriwa tu na ushenzi huu.


Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ni shoga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli

Tupo ngangari mshua

Kisayansi karibia Species zote 5% ni homosexuals.

Sheeps/kondoo ni above 30%

Wanasayansi tupo maabara tunakata kujua hii kitu huletwa na virus gani hasa ili tuweze kutoa cure!
Nimejaribu kufanya utafiti wangu mdogo kwa kupita mitandaoni, nikagundua Kilimanjaro na Moshi ina mashoga wengi zaidi
Nimepita miaka ya nyuma kwenye kumbi za starehe kama La Liga(sijui kama bado ipo) nikakutana na mashoga jambo ambalo sikukutana nalo popote

Nikagundua hata wanaume wengi wa kitanzania tunaopata ripoti wameolewa huko ulaya wengi ni kutoka Kilimanjaro na Arusha..

Nikajiuliza kivipi watu tunaoamini ni wajanja, wasomi na walioendelea ndio waongoze kwa kadhia hii

Nikagundua huo huo ujanja na kuelimika ndio kumewatia kwenye hilo janga

Kupenda kujifanya ndio jamii iliyostaarabika, kupenda uzungu zaidi kunawafanya wajikute wameingia katika mkumbo wa ushoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom