Bado sijaamini kama hayo maneno yametoka kwenye mdomo wako Bujibuji nakuheshimu sana. Lazima kuna shida zinakuandama kwenye ubongo wako.
kuna lugha ya mazungumzo na maandish,bujibuji hajaongea ila ameandika.gud moment
Bado sijaamini kama hayo maneno yametoka kwenye mdomo wako Bujibuji nakuheshimu sana. Lazima kuna shida zinakuandama kwenye ubongo wako.
Dua la fisi
Wacha aendelee kukaa huko jela kama alivyotaka.
Pale ndipo panapomstahili yeye na wahalifu wenzake.
Nadhani alikuwa amewa-miss sana machalii waliofungwa siku nyingi....sijui walimpokeaje.
Arusha is a better place without Lema!
hilojina ngoromiko ni mnyama asiyeona mchana
mkuu nakumbuka umelelewa kwa wale wazee wa kiislam pale machame
tunasikia kwenu mna laana
je ni kweli???
Laana wanayo wanaojipeleka wenyewe jela, pamoja na mashabiki wao kama wewe.
Mnahitaji ukombozi wa fikra.
Wacha aendelee kukaa huko jela kama alivyotaka.
Pale ndipo panapomstahili yeye na wahalifu wenzake.
Nadhani alikuwa amewa-miss sana machalii waliofungwa siku nyingi....sijui walimpokeaje.
Arusha is a better place without Lema!
Asante mkuu kwa taarifa hizi muhimu sana. A Tanzanian hero in the making, kwa sababu viongozi wote tulio nao sidhani kama kuna hata mmoja aliwahi kukaa mahabusu. Labda Mwali Nyerere enzi za kupigania uhuru aliwahi kufnguliwa kesi. Sasa Lema anakuja huyo, kwa wanaobeza waangalie wasije yakawakuta ya Mzee Gadaffi ambaye alikufa kifo dhalili lakini alichojitengenezea yeye mwenyewe
Kacheze wewe ya kichina basi,MASABURI yako!Hakuna lolote hapo Lema anataka kucheza sinema ya kihindi ambayo imeisha julikana, KUTAFUTA UMAARUFU HAUTAFUTWI KWA NJIA HIYO
Big Up!
Mtu muhimu katika jamii daima anathaminika. Mfano ni namna Wamarekani walivyopokea kifo cha Mwanamuziki Michael Jackson, walijazana katika hospitali hihyo - zaidi ya watu laki tatu, hiyo ilikuwa ni kuonyesha kutambua mchango wa Michal katika jamii yao, walidiriki kuacha ajira zao na kwenda kuthibitisha kama kweli mtu wao amewatoka.
Taarifa ambayo wangeipata hata kwenye vyombo vya habari, hivyo hata wale machalii wanaoenda gerezani kumuona Mbunge wao sio kwamba hawana akili kama wewe! Waache wakamuone anayepambana na Wakoloni weusi wanaoshabikia MAGAMBA. "hABARI NDO HIYO"