Hahahah nitajitahidi kadri ya uwezo wangu ili uishi kwa raha bibie lara1
Hapo kwenye red una maana hii hii ninayoifahamu mie au nyingine? Biashara?Mhhhhhhh! Achana na hawa mashabiki maandazi wakitiwa hamira kidogo wanaumuka beseni zima! Niambie my sweety, sweety, my number one, pete tunongelea karat ngapi? Siaki kukumaliza sanaa tanzanite kajiwe cha M tu kanatosha! Au mi muke ya masai ntavaaje SARE YA JIJI za kwaNchimbi! Haihuuuuuuu kabisaa.
Afu ukikaa na mie kupata hela IS NOT AN OPTION!!!!!! Ukija mikono mitupu mambo ya free pumbu MLANGO SIFUNGUI! Eeeeeeh! bila hivo utakuwa hutoki kimaisha! Afu tutabakia kusoma plate number za watu! Ndo nini sasa! Pesa utapata hata kwa bakora ikibidi! LOL!
Nipo mkuu
Mhhhhhhh! Achana na hawa
mashabiki maandazi wakitiwa hamira kidogo wanaumuka beseni zima! Niambie
my sweety, sweety, my number one, pete tunongelea karat ngapi? Siaki
kukumaliza sanaa tanzanite kajiwe cha M tu kanatosha! Au mi muke ya
masai ntavaaje SARE YA JIJI za kwaNchimbi! Haihuuuuuuu kabisaa.
Afu ukikaa na mie kupata hela IS NOT AN OPTION!!!!!! Ukija mikono mitupu
mambo ya free pumbu MLANGO SIFUNGUI! Eeeeeeh! bila hivo utakuwa hutoki
kimaisha! Afu tutabakia kusoma plate number za watu! Ndo nini sasa! Pesa
utapata hata kwa bakora ikibidi! LOL!
Ukiniita hilo jina najiskia vibaya kweli mambo nayofanya.
Sema kijana! Utanifanyia nini? Umejipangaje to make me happy! FYI SIENDEKEZI FREE PUMBU!
We mtoto mbona hulali? Ungekuwa mke wangu ningeshakunyofoa sikio wallah!!
Hahahahahahaha umenifanya nicheke mdogo wangu khaa. Hajui lbd wewe mlinzi au nesi au dr uko zamu maana hawa hata usiku wanafanya kazi. Msalimie sana kiwatenguSisi huku usiku hugeuka mchana naishi pluto tunatofautiana kidogo
Hahahahahahaha umenifanya nicheke mdogo wangu khaa. Hajui lbd wewe mlinzi au nesi au dr uko zamu maana hawa hata usiku wanafanya kazi. Msalimie sana kiwatenguSisi huku usiku hugeuka mchana naishi pluto tunatofautiana kidogo
Hahahahahahaha umenifanya nicheke mdogo wangu khaa. Hajui lbd wewe mlinzi au nesi au dr uko zamu maana hawa hata usiku wanafanya kazi. Msalimie sana kiwatengu
Kingine ninachowaza watu8 si unafahamu kwamba lara 1 anapumulia mashine Game watakua wanapigaje sasa?Maana huyu binti wa kinondoni Mguu bado unamsumbua kwa sana.... ODILI SAMALU jipange na fungu la matibabu kabisa..au kwa hasira peleka India mtoto apone ili ufaidi vizuri.People who want happy endings have to
write their own.
Chaka hilo......:disapointed:Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikivutiwa sana na huyu binti lara1,nimetokea kumpenda sanaa na natamani awe mke wangu kwa sababu hajaolewa nimempenda sana lara1 natangaza nia ya kumchumbia binti lara1
utamuweza! maana utafiikiri yeye ndo alikuwa mwenyekiti wa mkutano wa beijing!. jiandae kupangiwa zamu ya kuzaa