Nimetokea kumpenda lara 1

People who want happy endings have to
write their own.
 
Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikivutiwa sana na huyu binti lara1,nimetokea kumpenda sanaa na natamani awe mke wangu kwa sababu hajaolewa nimempenda sana lara1 natangaza nia ya kumchumbia binti lara1

Umejuaje ni mwanamke?
 
hahahahahahhh.jf kiboko yaooo...haya bwana halusi mrembo ndo huyo kafunguka.....
 
Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikivutiwa sana na huyu binti lara1,nimetokea kumpenda sanaa na natamani awe mke wangu kwa sababu hajaolewa nimempenda sana lara1 natangaza nia ya kumchumbia binti lara1

Ila mimi nakuonea huruma, wanawake wa kutafuta kwenye mtandao hawafai kuoa ni bora ungesema unataka kuonja papuchi ya lala1.
 
Ila mimi nakuonea huruma, wanawake wa kutafuta kwenye mtandao hawafai kuoa ni bora ungesema unataka kuonja papuchi ya lala1.

Aaaaah! Babu weeee USINIZIBIE RIZIKI!!!!!! Ndoa mchezoooo! Mwche ANIWOWE niwe nakula na kunya bureeeeeeeeee!!!!!!!! Inahuuuuuuuuu! lol! Ila sheria ya ndoa pichu mtegoni ndo inanitia kigugumizi kidogo! Mkiachana si engine inakuwa used too much too many hadi inachemsha!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…