Dalai Lama in Tz
Member
- Apr 8, 2025
- 60
- 91
- Thread starter
- #41
Kwnn mkuuKazi kwelikweli
Kwnn mkuuKazi kwelikweli
Hamna hata hii account haijui, me nmependa mkuuJoined yesterday....
mama umejianzishia uzi utupime akili wanao au sio 😂😂😂
Mapenzi hayachagui mkuuunaweza kukuta wewe ni mjukuu wake kabisa.
😂😂😂😂 shamte kama shamteSawa hamna shida wewe ndo utakuwa mjomba wetu Kama uncle shamte
Mapenzi hayachaguiMama mdogo wako huyo ujue....
Naimani nitafanikiwa mkuu, nitangaze ndoa
Nitaleta mkuu,kikubwa ngoja akubali ombi languMimi ndio kaka yake ninayepokea mahari; leta ng'ombe 20 na blanketi la babu
Niombeeni ombi langu lifanikiwe😂😂😂😂 shamte kama shamte
Nmependa mkuuDuh aiseee
Mapenzi hayachagui mkuuUna Ugonjwa wa akili. Mamdenyi toka 2010 yumo humu, ni Bibi yako, Kaa kwa kutulia usije pata laana
Sawa mkuu niombee akubali ombi langu nmependaSawa hamna shida wewe ndo utakuwa mjomba wetu Kama uncle shamte
Naona bi mdashi umekuja na ID Mpya kuja kujipakulia minyamsio
Sio yeye mkuu me nmependa na imani atalipokea vzrNaona bi mdashi umekuja na ID Mpya kuja kujipakulia minyama
Mapenzi hayachaguiMama mdogo wako huyo ujue....
Sijakuelewa mkuuWee ukibanwa, utasema vizuri tyuuh.
😂😂😂😂😂
Kwahiyo tuanze kukuita dingi au sioHamna hata hii account haijui, me nmependa mkuu
Ndio itapendeza nmempenda kwa kila kitu niombee nifanikiwe awe wangu natangaza ndoaKwahiyo tuanze kukuita dingi au sio
Hatutaki baba wa kambo 😁Ndio itapendeza nmempenda kwa kila kitu niombee nifanikiwe awe wangu natangaza ndoa