Sasa kama ana mtoto wa 1998🤣wa mwsho sjui 2007 iweje, kijana awe uncle wakoSawa hamna shida wewe ndo utakuwa mjomba wetu Kama uncle shamte
Sasa kama ana mtoto wa 1998🤣wa mwsho sjui 2007 iweje, kijana awe uncle wakoSawa hamna shida wewe ndo utakuwa mjomba wetu Kama uncle shamte
Are u sure🤣Si ni mbibi huyo?rika la akina Samia
Utampendaje mtu usiemuona.Kwanini mkuu?
Kwanini mkuu unamwambia hivoBaada ya miezi mitatu njoo urudie kusoma huu uzi wako.
Na wengine ni bibi yetu, kina Intelligent businessman n kitukuu chakeMamdenyi ni mama yetu humu jf. Dogo huna adabu
Tunatuma Baba lakini.asikilizweMamdenyi ni mama yetu humu jf. Dogo huna adabu