Kwanini mkuu?Unamatatizo sio bure.
Nimependa mkuuAiseee
Na imani hajaolewaSawa anakuja
Kweli kabisa mkuuKila ntu na ntu wake
Daaah me namuwazaMkuu Al masry jau sana wanafungwaje kiboya kama vile na timu kama simba
Mamdenyi mkuuMkuu Al masry jau sana wanafungwaje kiboya kama vile na timu kama simba
Kwanini mkuu siruhusiwi kupenda?Ukamatwe haraka ukamalizie dozi yako
Nimependa aiba yake hapa jf naimani ni mke sahihi kwanguUmependa jina au sio!
Na imani nitashinda atakuwa wanguYesuuu!
Nisaidie mkuuNew member , vipi nikusaidie kumtag? 😂😂😂
Mama mdogo wako huyo ujue....Wakuu kwema?
Niende direct kuna member humu JF anaitwa mamdenyi nimetokea kumpenda sana nimekufa nimeoza wakuu. Ana hekima, busara, mpole, mtaratibu hana makuu.
Naimani hajaolewa naomba mimi nikuoe mamdenyi, nitakuwa mume mwema na mtiifu kwako.
Mamdenyi ni mama yetu humu jf. Dogo
Nmependa tayari hakuna namnaMamdenyi ni mama yetu humu jf. Dogo huna adabu
Na mimi ndo hivyo vitu nmependa kutoka kwake naimani ombi langu litafanikiwa awe mke wangu
Kwanini mkuu, siruhusiwi kupenda na mapenzi hayachaguiInabidi uchinjwe pasaka