Dalai Lama in Tz
Member
- Apr 8, 2025
- 60
- 91
Kila lakheli mkuu kikubwa ukubaliwe na mm ndo napambana nichukue kihalali
Yeye ndo mwenye last say mkuu ngoja aje ila kila kitu imani nitafanikiwaHatutaki baba wa kambo 😁
Mkuu naimani wapo watu wema sana humu mpaka me nmetangaza ujue wake wema wapo humu.Usijidanganye kutafuta mwenzi jf...Linda amani ya moyo wako mkuu🙏
Nina uhakika 100% ni mwanamke na wife material niombee mkuu nifanikiweWe umetanbuaje kama ni mwanamke nyuma ya keyboard
Sijakuquote wewe,soma vizuri ujue nimemjibu nani....wewe endelea kupambania penzi lako mkuuMkuu naimani wapo watu wema sana humu mpaka me nmetangaza ujue wake wema wapo humu.
Mnajilisha upepo vijana kwamba karibu na kwakoNina uhakika 100% ni mwanamke na wife material niombee mkuu nifanikiwe
Alishawahi kuweka picha yake humu, ni binti mmoja mwenye nyama na haiba yake.We umetanbuaje kama ni mwanamke nyuma ya keyboard
Maisha ni kamari. Huwezi jua, pengine amani iliyokosekana kwa dhahiri mitaani kumbe imejificha kwenye nadharia ya mitandao.Usijidanganye kutafuta mwenzi jf...Linda amani ya moyo wako mkuu🙏
Ok nisamehe mkuu sikuona vzr niombee nitoboe mapnz ni popote tuSijakuquote wewe,soma vizuri ujue nimemjibu nani....wewe endelea kupambania penzi lako mkuu
Leta milioni moja ya kishika uchumba kwanza ili mambo yaende kwa haraka; wanasema mkono mtupu haulambwiNitaleta mkuu,kikubwa ngoja akubali ombi langu
Asante sana mkuu,ndoa ninayo japo ya mkeka😔Maisha ni kamari. Huwezi jua, pengine amani iliyokosekana kwa dhahiri mitaani kumbe imejificha kwenye nadharia ya mitandao.
HakikaOk nisamehe mkuu sikuona vzr niombee nitoboe mapnz ni popote tu
Sio zerominus huyu alikua anatest mitambo ya id mpya kweli? 😹😹Wee ukibanwa, utasema vizuri tyuuh.
😂😂😂😂😂
Atakuwa na umri sawa na bibi yako. Mpende kama bibi lakini huko kwingine unapoelekea unamkosea heshimaNmependa tayari hakuna namna
Kilicho cha kudumu duniani ni kifo pekee. Mengine yote yanabadilishwa.Asante sana mkuu,ndoa ninayo japo ya mkeka😔