Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,375
- 176,215
Ndio basi tena huyu. Usimsogelee.
Havai na kama amevaa lazima kapata maambukizi kwenye mapapai na mafenesi
Ndio basi tena huyu. Usimsogelee.
Havai na kama amevaa lazima kapata maambukizi kwenye mapapai na mafenesi
Vitenge loading....Hahahahaha
Besidei loading....
WoooyoooNdio basi tena huyu. Usimsogelee.
Fanya namna umshike tu kwa kweliAkinichoropoka siwezi mkimbiza..halafu huyu adabu anamambo ya kipuuzi kweli labda nisimshike
Sent using Jamii Forums mobile app
Story zake si huwa anatunga sasa wewe ulitaka ziwe za ukweli ili ziweje? Ila yule jamaa story zake zingekuwa movie daah!
Korona.Unatafuta wapi eti jamani![]()
Sasa mbona idadi ya x wanazidi umri wako
HahahahahaVitenge loading....
Oooh Lord have mercyUkinipa mapacha tu mkwe, nitaanza kutoka nje ikiwezekana kifua wazi kabisa


Aaaahhh wapi
Subiri ukishakufa ukifika mbinguni ndiyo utaenda kumjua baba yako halisiUkweli ujulikane usikute amemmbakia mzee wa watu mimi napambana kibishi tu, kumbe mshua yupo zake shinnyanga huko na migodi kibao..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo naweza kukukuta kwa uzi mwingine uko tripleWoooyooo
Finally am freee

Unatafuta wapi eti jamani![]()
Anajifanya eti imemponyoka imekimbia, hata mie nitamsaidia kuifukuzia.Tena washikane na waandamane kila anapokua.
Oooh Lord have mercy![]()
Sasa mbona idadi ya x wanazidi umri wako