Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,868
- 183,165
Ya karantini.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nje ya wapi eti jamani
Ya karantini.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nje ya wapi eti jamani
Hebu hukoo...
Lazima ujue jamani dadaMimi najua sasa jamani dear
Hapana, kama inatafuna hadi mapapai nina mashaka na ubongo wako.Mkwe ile inatafuna mapafu tu...hivyo ubongo wangu bado upo ngangari
HahahahahaYuda Msaliti ??? (nimegugo lakini)
Ooooh!! We nitaamini ni kweli maana mwingi wa habari.
Hakuniaga dearLazima ujue jamani dada
Mwe mwe mweeeh!! Nakuteteaga kasoro kwenye pesa na vitenge vyangu. Hivi mwaka huu hamna besidei mniletee zawadi?Sema tuu ufupi unaniponza!!
Hujawahi nitetea mimi jamani
Ooooh!! We nitaamini ni kweli maana mwingi wa habari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ya karantini.
Mbona uliondoka mwenyewe jamani miezi mitatu yoote [emoji1780]
Na kitambi mob hatowezana.Nataka nimtafute okonkwo nimpee kama atawezana
Mbali hivyo, nilijua kana 17 au 18.
HahahahahaMwe mwe mweeeh!! Nakuteteaga kasoro kwenye pesa na vitenge vyangu. Hivi mwaka huu hamna besidei mniletee zawadi?
Haya.Nalia ndiwoo
Unatafuta wapi eti jamani [emoji1780]Mwanaume kutafuta darling...
Siwezi aisee!
HahahahahahaahNa kitambi mob hatowezana.
Hivi pampula unahonga lakini? Au pesa zako zinaishia kwenye vyombo tu?
Nataka nikuozeshe mwanangu. Ila nataka unihakikishie financial security kwanza.
Mkwe una hakika ukitoka nje huwa unavaa barakoa?