Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mkwe una hakika ukitoka nje huwa unavaa barakoa?Nitaandika kama ule wa Mengi...hivyo mkwe nizalie mapacha
Aibu naona mimi jamaniNitaandika kama ule wa Mengi...hivyo mkwe nizalie mapacha
Hivi pampula unahonga lakini? Au pesa zako zinaishia kwenye vyombo tu?Si kama hicho ulichoingia wewe...wanakiuta stressfree,kumalizana leoleo
Sent using Jamii Forums mobile app


Pampula hebu tuwe serious sasa we uko kwenye early 30s ?? Haki ya nani nilijua uko kwenye mid 20s duuh !!
Mkwe una hakika ukitoka nje huwa unavaa barakoa?








Mie nakuteteaga siku zote ni vile usakayo wako unakuponzaga.Haaaleeeluyaa
Finally leo nimetetewa
Kumbe wewe wa juzi tuu
Story zake si huwa anatunga sasa wewe ulitaka ziwe za ukweli ili ziweje? Ila yule jamaa story zake zingekuwa movie daah!
Sasa huu usingo una mpango gani nao?Abeee auntie wangu mzuri mzuri jamani
Corona ashakukula hadi ubongo maweeeeeee![]()
Sema tuu ufupi unaniponza!!Mie nakuteteaga siku zote ni vile usakayo wako unakuponzaga.
Bado tu utalialia?Aibu naona mimi jamani
ToooobaHivi pampula unahonga lakini? Au pesa zako zinaishia kwenye vyombo tu?
Nataka nikuozeshe mwanangu. Ila nataka unihakikishie financial security kwanza.



Nataka nimtafute okonkwo nimpee kama atawezanaSasa huu usingo una mpango gani nao?
Nalia ndiwooBado tu utalialia?
Yuda Msaliti ??? (nimegugo lakini)Yule dogo wa singeli alokufa akafufuka anaitwa nani eti jamani