Nimetoa boko wakuu

Nimetoa boko wakuu

Na alivyo sakayo atasikiliza majibu yako, mie akija tena kulialia eti umemsusa nitakuwa nakunywa chai yangu ya tangawizi taratiiibu huku nikisikiliza gospel.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acheni ujingaa, huyu jael sijui anampango gani na mimi kutaka kupeperusha ndege wangu, anataka nife single [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka nilikuwa mdogo wake kabla hata wewe haujazaliwa hivyo umenikuta tayari mie ni mama yako mdogo, narudia wewe na adabu yako mshikane.
 
Mweeeeh!! Hapa sina mtoto[emoji134][emoji134][emoji134]
Inabidi tufute yalopita tuanze upyaaaaa, mahari nitawaambia kesho asubuhi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa huyu huyu amaa
 
Mbona sijaona mahali kalia mkwe...

Hapa ndio kwanza anayenielekeza nikujibu aje

Na alivyo sakayo atasikiliza majibu yako, mie akija tena kulialia eti umemsusa nitakuwa nakunywa chai yangu ya tangawizi taratiiibu huku nikisikiliza gospel.
 
Back
Top Bottom