Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,412
- 176,327
Utaandika nini sasa?Basi na mimi nitaandika...ili ionekane uongo
Utaandika nini sasa?Basi na mimi nitaandika...ili ionekane uongo
Umesahau ile sifa ya majieani zako ile ilisambaa dunia nzima? Mkatuharibia sifa ya nchi![]()
Hapana, nilikuwa nafikiria utaniacha bila hata kamjukuu ka kutuma maji ya kunywa.
Uzinzi motoPoleni sana na janga linalowakumba TZ kitalaamu likiitwa changamoto ya upumuiji.
Katika pitapita zangu kwenye majukwaa pendwa MMU na CHIT CHAT ili kutumiza yale yote anayonituma ibilisi nikakutana na ID moja ya mlimbwendwe, malikia, mremboo mmoja hatarii sana(ukiwa legendary na mkali wa hizi kazi unaweza kuisoma id na kuijua hii kazi ya maana au hii kazi ni ya kiwango cha kawaida).
Baada ya kuvutiwa na mwandiko wa bidada na kujiridhisha kua hii ni chombo ya fundi nikazama pm kwa kasi ya ajabu mnoo, baada ya kuchat chat kidogo nikataka kukihamisha chombo sasa kutoka kwenye server za melo nikipeleke kwenye server za Mark Zuckerberg.
Kumbe mrembo ananichora tu ni ex wangu wa humu kwa id nyingine wakuuu, halafu id zote ni za mda mrefu wala huwezi kizisuspect pamoja na mimi kua ni mtu mwenye intelejensia kali kwenye jamuhuri ya serekali ya watu wa mmu na chit chat, baada ya kujiridhisha na vichat chat kadhaa nikaomba contact nashanga ujumbe unarudi.
"Namba zangu za nini tena wakati unazo?" Mara paap inakuja nyingine "wee umalaya utakuua mimi M"
Baharia nikaumbuka pale lakini kama mnavyojua malegendary huwa hatushindwi nikareact fasta.
"Nilihisi ni wewe lakini nilitaka kujiaminisha let us pretend kama hatujawahi kukutana, naomba nikutoe out for dinner leo mrembo" baada ya dk kadhaa likarudi jibu
"Call me"
Na kiporo kikapashwa motoo...... mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app



Hapana, nilikuwa nafikiria utaniacha bila hata kamjukuu ka kutuma maji ya kunywa.
Tena washikane na waandamane kila anapokua.Kumbuka nilikuwa mdogo wake kabla hata wewe haujazaliwa hivyo umenikuta tayari mie ni mama yako mdogo, narudia wewe na adabu yako mshikane.
Nimelia sana jamani nikikutafuta ujueMbona sijaona mahali kalia mkwe...
Hapa ndio kwanza anayenielekeza nikujibu aje
Ndio, nataka hela ya kujifukiza.
Kwa huyu huyu amaa
HapanaUshasema huko nyuma...
Sasa hivi kweeliii jamanii

Rule number 2, always never forget rule number 1...Rule number one, never kiss and tell
Rule number two, refer to rule number one
Kwahiyo hadi michepuko yako ina nguvu kiasi hicho!!! Hebu shikana na adabu yako we mtotoMbona sijaona mahali kalia mkwe...
Hapa ndio kwanza anayenielekeza nikujibu aje




Kwani nawe unampango wa kukufa mkwe?
Ongeza mahari kwanza ndio tuelewane.
Uzito
Hebu ngoja nikumbuke, unaweza kuta tunauaga umasikini hivi hivi.Ukweli ujulikane usikute amemmbakia mzee wa watu mimi napambana kibishi tu, kumbe mshua yupo zake shinnyanga huko na migodi kibao..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoa book n kufanya makosamwee hata sijui alichomaanisha hazard hapa labda tumuulize mwenyewe, mie najua ni kutoa ubwabwa badala ya wali.
Mlituchafulia nchi kweli, mambo gani mnakaa mpakani halafu mnashindwa kuiwakilisha nchi vyema?