Nimetengeneza game nakuliweka Play Store

Nimetengeneza game nakuliweka Play Store

Mkuu Hackboy hujajibu hapa bro
Hahah jamaa anajiaibisha tu. Izo ni game data. Izo ni tileset in array. Yani izo ndio game level design yenyewe. So kila kwny 1 na 2 ndio ground panapokanyagika, kwny 3 ni trap, kwny 6 ni enemy, na kwny 4 ndio exit pakumalizia level. Inazitambua izo kwa iyo function ya draw.pixelset();
Kwny game dev tunatumia mbinu ya tileset ilitusirudie rudie code. Ukiangalia vzur utagundua ilo game nimetumia code chache mno, iyo ndio sababu. Jamaa amekazania compiler. Huwez ona compiler kwny output. Cuz compiler yangu ina compile from my language to js. Nmemtumia screenshot ya code za syntax za language yangu na code za compiler yangu, amesema nme copy aya atuonyeshe nlipo kopi. Cuz ni easy to ku google syntax za source code
 
I like this paka sasa kama ningekua judge ningeSema " m still on the fence" . Yani akija Hackboy ananiamisha akija bwana Graph pia ananiamisha

- Hongera sana Hackboy kwa confidence ulionayo, inaprove kwamba unaelewa vizuri kile unachokiandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aonyeshe tu wapi nme copy, cuz game engine zote zinajulikana. Sio poa kumwambia mwenzako kakopi bila evidence yoyote. Nmechukua miaka mingi kutengeneza game engine af jamaa anasema nmekopi bila any evidence. Dah noma sana
 
T
Nilikua nataka sema hongera kwa kuja na game, ila kuona hii reply umenichekesha sana, acha kutudanganya mtanzania. Language yako na game engine yako mwennyewe ndo kitu gani? Unajua effort inayohitajika kutengeneza a full blown language ya kuweza kurun kwenye game engine na ikaproduce a fully working game kweli? na unajua effort inayohitajika kwenye kutengeneza a fully working game engine? Either ni ya kiloko sana au we ni time traveler from the future imekuchukua miaka mingi sana kutengeneza.
Time traveller haha
 
Nimetengeneza game nakuliweka Play Store, ni game gumu kwa atakayeweza fika kuanzia level ya 3 na kuendelea atume screenshot.
Liko Play Store only, search Pixelpunk
Pixelpunk - Cyberpunk Platformer - Apps on Google Play
Nipo naendelea na mtanange
Screenshot_2020-04-17-15-02-40.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Big up mkuu, kuna kipindi nilitaka kutengeneza game la magari ila nilivyoona inahitajika elimu ya coding nikatokomea machakani.
Nimeamua kubaki kuwa 3d artist tu.
Ukitaka 3d game assets unaweza nicheki mkuu kama ukihitaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom