Nimetengeneza game nakuliweka Play Store

hongera sana mkuu, tatzo wabongo tuwavivu wakufikiria hua tunahisi hatuwezi fanya kama wazungu au zaidi yao, kuna jamaa yangu ana idea ka zako mkikaa pamoja mtatisha sana kama hutojali ntakuunga nae.
 
Tupo pamoja ila hizi 10second ni mpaka hiyo stage ya 15 maana mpaka hapa nilipofikia sio poa au zitapanda
Umetsha sana mkuu
Nipo hapa sasa
Screenshot_2020-04-17-18-47-37.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana kwa kazi nzuri. Hao wanaokupinga na kukucheka ndio watanzania wenyewe maana mtanzania mpaka akukubari kama una roho ndogo unaweza kukata tamaa, msingi jaribu kuliboresha gem lako weka rangi za kuvutia na vile vitufe weka vikijieleza namaanisa kma ni mishare ikionyesha Nyuma, Mbele na Jump pia jaribu kushirikiana na graphics designer kwa kutengeneza muonekano mzuri naamini utafika mbali. Kwa msaada wowote unaohusu graphics designer nimabie nitakusaidia free muhimu tufike mbali.
 
Nilikua nataka sema hongera kwa kuja na game, ila kuona hii reply umenichekesha sana, acha kutudanganya mtanzania. Language yako na game engine yako mwennyewe ndo kitu gani? Unajua effort inayohitajika kutengeneza a full blown language ya kuweza kurun kwenye game engine na ikaproduce a fully working game kweli? na unajua effort inayohitajika kwenye kutengeneza a fully working game engine? Either ni ya kiloko sana au we ni time traveler from the future imekuchukua miaka mingi sana kutengeneza.
bro ile idea ya ile app vp umefika wap

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
mtoa post hongera kwa kaz nzur ongezA bidii utafankiwa

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Dah... nimefika hadi page ya 6, Huwa ni mvivu kufuatilia mijadala mirefu. Wote nawapa hongera. Bado nasubiri mshindi kama itatangwazwa.
 
matangazo yanakuja kwa speed sijawahi ona. umetisha

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Hack embu nitoe jina la kitabu kimoja cha programming ulicho jifunza kikakusaidia sana
 
Mleta mada hongera sana.
Usikatishwe tamaa na sisi wabongo ndo zetu bana.
 
Hack embu nitoe jina la kitabu kimoja cha programming ulicho jifunza kikakusaidia sana
Vitabu ni vingi sana vilivyonisaidia, nna pdf books zaidi ya 1000, lakini video za youtube na majibu ya stackoverflow ndio yamenisaidia zaidi. Labda uwe specific vitabu vya programming kwa upande upi? Game programming or?
 
Back
Top Bottom