Nimeona mkuu Sema so vibaya kwa level ya degree kufanya haya kibongo bongo inaonesha hakukariri darasani...!! Japo ni game za zamani na kitoto sana
Ivi unajua kuna zaidi ya maelfu ya programming languages? Zote unazijua? Napia kila siku kuna new frameworks zinatengenezwa? Game Engine is just a graphics, physics and sound framewok. Na kutengeneza a new language ni kutengenezea tu compiler. Kwa TZ sio vitu popular but kwa nje ni vitu vya kawaida sana. Siwez kwambia inaitwaje na technolojia yangu ikoje ad nkiweka kuwa open source.
Nimetengeneza game nakuliweka Play Store, ni game gumu kwa atakayeweza fika kuanzia level ya 3 na kuendelea atume screenshot.
Liko Play Store only, search Pixelpunk
Pixelpunk - Cyberpunk Platformer - Apps on Google Play
Hahah unabisha ata bado huja decompile my apk?Haha nafahamu kuna languages elfu kadhaa, najua vizuri pia game engine zikoje, usidhani naongea kama newbie nimekua kwenye hii industry toka hujaanza hata primary school, na nipo nje sio hata Tanzania kwa hiyo usidhani naongea juu juu tu, nimefanya kazi na big companies unazozisikia leo unaziogopa kama Google na Apple usidhani naropoka tu, kabla sijaingia kwenye web an mobile app development nilikua system software engineer, graphics engines ni moja ya vitu nilivyoanza navyo kabisa kwenye my career zamani sana. Sio kitu cha kawaida dunia nzima kutengeneza game engine na language nzima then ukatumia kutengeneza a fully functioning game na features zote ported to a mobile OS na inafanya kazi 100% ni kazi ngumu na ndiyo maana zipo chache. Unaongelea kutengeneza compiler utadhani ni kuandika barua microsoft word? hahaha daganya toto, labda kama unatengeneza compiler ya kuhesabu namba ila a full blown language yenye features za kutengeneza hilo game uliloweka store sio kitu cha siku moja, rendering engine peke yake tu takes a crazy amount of time kutengeneza, uiport ikubali kwenye android, uweke vitu kama collision detection haha acha kuota ndoto za mchana dogo. Weka hiyo code github tuone.
Subiri nitoke kazini nitapakua apk yako ni-reverse engineer nitaona kila kitu kilichomo ndani so kama umetumia popular engine nitajua tu, na hiyo language yako uliyotengeneza umeiport vipi kukubali kwenye android OS? tuanzie hapo kwanza, au share hata snippet ya hiyo compiler uliyoandika tuone maana nishatengeneza compiler najua vizuri how they are made.
Utadanganya wajinga tu ambao hawajui programminng, hakuna developer asiyetumia tool ya mtu mwingine, hata assembly language imetengenezwa na mwingine so kama umetengeneza compiler lazima umetumia language tofauti kwanza kama C (most popular) au C++ then language ikiwa full ndiyo unanitumia language yenyewe kutengeneza its own compiler. That's how things have always been. Sasa danganya wajinga humu wasiojua programming.Mimi style yangu ya programming sipendi kutumia tools, libraries na frameworks za watu wengine, ndio maana nawekeza mda mwingi kutengeza za kwangu mwenyewe, cuz zinanipa freedom yakufanya chochote kile
I made it from scratch. View my source code af nambie wapi nime copy. Ongea kwa evidence.Lini mtakuwa wakweli,
Yani unacopy na kupest gamecode harafu unakuja sema umetengeneza game..
Shame shame sana...
Na mengine yanakupongeza.
All in all mwanzo mzuri,One day utatengeneza chako from the scratch.
Sijamaanisha ndio kila kitu ad umeme nimegundua mimi. Just nmesema sipend kutumia tools za watu wengne. Yani ni kama companies like facebook au google wanatumia frameworks zao. Take it easy. Mbona kama unaumia sana?Utadanganya wajinga tu ambao hawajui programminng, hakuna developer asiyetumia tool ya mtu mwingine, hata assembly language imetengenezwa na mwingine so kama umetengeneza compiler lazima umetumia language tofauti kwanza kama C (most popular) au C++ then language ikiwa full ndiyo unanitumia language yenyewe kutengeneza its own compiler. That's how things have always been. Sasa danganya wajinga humu wasiojua programming.
Kama kila kitu unataka kutengeneza mwenyewe anza kwenye transistors, tengeneza a fully working CPU, unnga kila kitu hadi upate a working computer bila hivyo unatudanganya tu hata kutunza data kwenye RAM unatumia drivers zilizoandikwa na mtu mwingine. Go lie to ignorant people man.
Sipendi kuona developers mnaojifanya on top of the world kua mnajua sana badala ya kua positive sema ukweli wenzako waige wafanye kitu muwe wengi mnakaa kujifanya super devs, umetoka sayari gani mzee?
I made it from scratch. View my source code af nambie wapi nime copy. Ongea kwa evidence.
Siumii chochote tena not on this discussion, style yangu ya kuandika tu izoee.Sijamaanisha ndio kila kitu ad umeme nimegundua mimi. Just nmesema sipend kutumia tools za watu wengne. Yani ni kama companies like facebook au google wanatumia frameworks zao. Take it easy. Mbona kama unaumia sana?
Nimepata funzo kubwa sana kupitia post zako hongera mkuuSiumii chochote tena not on this discussion, style yangu ya kuandika tu izoee.
Facebook na Google wanatumia frameworks zao ila sio 100% ni more like 50% nyingi wameziopen source zinapokea contribution toka kwa developers dunia nzima. Narudia tena nimefanya kazi na big companies, sijawahi deal na Facebook ila nimedeal na Google, lakini wote wanafanya the same thing, ukiingia Facebook language wanazotumia ni zilezile made by other people, C, C++, Php(dying), JavaScript, wamejaribu kufanya improvements to these languages ndiyo ila ni open contribution toka kwa devs dunia nzima, that's how software is made. Same for Google, siku hizi wanajitahidi kutumia Golang lakini ujue yenyewe pia ni openn source project japo ni made by Google employees, inapokea contributions worldwide.
The reason ni simple, when it comes to software development most of the times nothing beats open source na hakuna anayependa kure-invent the wheels, kitu kama kishatengenezwa na kinafanya kazi vizuri hakuna haja ya kukifix, facebook walijaribu kufix php sababu it was shit, super slow na buggy, google walijaribu kutengeneza Javascript engine sababu javascript on the browser has always been slow haikuweza ku-keep up na exponential development kwenye hardware side. Sasa wewe unajifanya unakuja na tools zako mwenyewe kusolve tatizo lipi hasa? em nitajie jina la algorithm hata moja uliyotumia kwenye rendering system yako tujue. Tatizo unatudanganya
Aya ngoja nkuonyeshe syntax za language yangu, na source code za compiler yake. Ubishi uisheSiumii chochote tena not on this discussion, style yangu ya kuandika tu izoee.
Facebook na Google wanatumia frameworks zao ila sio 100% ni more like 50% nyingi wameziopen source zinapokea contribution toka kwa developers dunia nzima. Narudia tena nimefanya kazi na big companies, sijawahi deal na Facebook ila nimedeal na Google, lakini wote wanafanya the same thing, ukiingia Facebook language wanazotumia ni zilezile made by other people, C, C++, Php(dying), JavaScript, wamejaribu kufanya improvements to these languages ndiyo ila ni open contribution toka kwa devs dunia nzima, that's how software is made. Same for Google, siku hizi wanajitahidi kutumia Golang lakini ujue yenyewe pia ni openn source project japo ni made by Google employees, inapokea contributions worldwide.
The reason ni simple, when it comes to software development most of the times nothing beats open source na hakuna anayependa kure-invent the wheels, kitu kama kishatengenezwa na kinafanya kazi vizuri hakuna haja ya kukifix, facebook walijaribu kufix php sababu it was shit, super slow na buggy, google walijaribu kutengeneza Javascript engine sababu javascript on the browser has always been slow haikuweza ku-keep up na exponential development kwenye hardware side. Sasa wewe unajifanya unakuja na tools zako mwenyewe kusolve tatizo lipi hasa? em nitajie jina la algorithm hata moja uliyotumia kwenye rendering system yako tujue. Tatizo unatudanganya
Em nionyeshe ulivyoport kwenda kwenye android tuone.Aya ngoja nkuonyeshe syntax za language yangu, na source code za compiler yake. Ubishi uisheView attachment 1421392View attachment 1421393
Tulia mkuu nitafungua nione tu nikiwa na muda nimekaa nyumbani nimetulia, sina muda wa kukaa sasa hivi ninadecompile APK file na kuanza kucheki source code. Cheka ila unajua kabisa nitakachokikuta huko kitakuaibisha coz I'm 100% sure unatudanganyaHahah unabisha ata bado huja decompile my apk?
Sio open source kwa sasa mkuu, hope unaelewa. But vizuri kuangalia source code before huja judge cuz unakuwa unajiaibisha. Usizani kwamba wanachofanya wazungu na sisi watanzania wa chini hatuweziem
Em nionyeshe ulivyoport kwenda kwenye android tuone.
Atarudi ngoja tumsubiri bado yuko kaziniHahahah Master Graph anabishana bila ata evidence