With python fanya web crawling and make your own search engine ya websites za east africaSi wengine code tunajifunzia ukubwani tena baada ya watu wa networking kutakiwa kujua code,tulizikimbia chuo hapa nina mpango wa kujua language mbili tu Python na Golang.Python basic mpaka advance technique nishazijua bado nitafute kaproject kadogo nikafanye.Mwakani nianze na Golang.
Vitabu ni vingi sana vilivyonisaidia, nna pdf books zaidi ya 1000, lakini video za youtube na majibu ya stackoverflow ndio yamenisaidia zaidi. Labda uwe specific vitabu vya programming kwa upande upi? Game programming or?
[/QUOTE
No sio za game nataka za kuhack