Nimetembea na wanawake 29 ndani ya mwaka mmoja

Nimetembea na wanawake 29 ndani ya mwaka mmoja

Jamaa jinga linapoteza pesa,mda na nguvu kwenye umalaya.
Mama ake kapata hasara Sana.

PESA - Kiasi cha pesa nikitumiacho ni kidogo sana ukizingatia mchizi nina kila kitu ambacho totoz wnapenda.

MUDA - Binafsi ni mjasiriamali wala sio muajiriwa hivyo nina muda wa kutosha wa kusihi maisha ipasavyo.

NGUVU - Nguvu za kiume inabidi tuzielekeze kwa Totoz na sio kwa washkaji wenzetu. au huwa unazielekeza kwa washkaji wenzako?

Bimkubwa nilisha malizana nae kitambo kabla sijaanza kujirusha na starehe. Sijamjengea nyumba, bali nimemjengea Mansion(Sijui kama vijana wa Mwabe pande kama mnajua hata maana ya Mansion). Mimi ndio nilimstaafisha kazi, una uwezo wa kumstaafisha kazi bimdashi? Yes mniga nilifanya hivyo. Muda si mrefu ninamtumia pesa ya matumizi madogo madogo ya wikiend hii kabla sijatoka kuingia viwanja kula mema ya uumbaji wa Mungu.
 
NARUDIA MARA NYINGINE.
Totoz ninazobanjua hazivutiwi na mimi kwa ajili ya pesa zangu au mavazi. Nyingi zinavutiwa na swaga zangu na muonekano wangu wa kibabe. Karibu robo ya hao 29 wameingia gharama wao wenyewe bila kuingia mfukoni kwangu.

Hivi dogo bado mnatumiaga Gesti kuwapeleka totoz huko, fanya hima uondoke kwa mama na uanzishe makazi yako binafsi, Mwanamke anayekubali kupelekwa gesti hana uwezo wa kunifanya nisimamishe dushe hata akiwa mtupu.. mchizi huwa ninawamaliziaga maeneo mabalimbali ikiwamo kwenye BMW langu, VIP Toilets...nikiona vipi huwa ninampeleka Ghetto.

Aisee nimekuwa tena Dogo?? Bado pambana sanaaaaaa utatupa mrejesho siku moja humu
 
Ahahahaa, unalipiwa gharama na demu?? Jitafakari kaka

Unaelewa tofauti kati ya negotiated sex na desired sex.

NS - ni pale totoz ina kushushia chupi ili ufanye yako then apate kile atakacho kama ni pesa au vinginevyo.

Ds - ni pale totoz ina jisikia tu hamu ya kukubanjua kwa sababu amekuelewa mchizi. totoz ikiwa na DS inajikuta inalipia bili, inajikuta inazungusha uno kama kimbinga cha katrina.

Ukiona unalipia pesa ili upate penzi ujue unatumia pesa kuficha mapungufu kama vile kitambi, sura mbaya na ufupi ulio kithiri.
 
PESA - Kiasi cha pesa nikitumiacho ni kidogo sana ukizingatia mchizi nina kila kitu ambacho totoz wnapenda.

MUDA - Binafsi ni mjasiriamali wala sio muajiriwa hivyo nina muda wa kutosha wa kusihi maisha ipasavyo.

NGUVU - Nguvu za kiume inabidi tuzielekeze kwa Totoz na sio kwa washkaji wenzetu. au huwa unazielekeza kwa washkaji wenzako?

Bimkubwa nilisha malizana nae kitambo kabla sijaanza kujirusha na starehe. Sijamjengea nyumba, bali nimemjengea Mansion(Sijui kama vijana wa Mwabe pande kama mnajua hata maana ya Mansion). Mimi ndio nilimstaafisha kazi, una uwezo wa kumstaafisha kazi bimdashi? Yes mniga nilifanya hivyo. Muda si mrefu ninamtumia pesa ya matumizi madogo madogo ya wikiend hii kabla sijatoka kuingia viwanja kula mema ya uumbaji wa Mungu.
kwa madem wa viwanja idadi ndogo sana chifu pambana
 
Unaelewa tofauti kati ya negotiated sex na desired sex.

NS - ni pale totoz ina kushushia chupi ili ufanye yako then apate kile atakacho kama ni pesa au vinginevyo.

Ds - ni pale totoz ina jisikia tu hamu ya kukubanjua kwa sababu amekuelewa mchizi. totoz ikiwa na DS inajikuta inalipia bili, inajikuta inazungusha uno kama kimbinga cha katrina.

Ukiona unalipia pesa ili upate penzi ujue unatumia pesa kuficha mapungufu kama vile kitambi, sura mbaya na ufupi ulio kithiri.
Ahahahahaa !! Aya bhana,

Apa naona watu wafupi kazi wanayo.
 
Kama wewe unajijua ni mfupi na una sura mbaya wala usijalibu klwenda maeneo ya viwanja kama vile klabu etc kwa sababu uwepo wa mtu kama mimi utakufanya usionekane kabisa na wala kuzingatiwa kabisa na pisi kali.
Taarifa mbaya Sana kwa Ndugai!
Kama siyo hela angeendelea kuwa mwenyekiti wa CHAPUTA!
 
Nilichogundua

Kuna maisha ya Jamiiforums

Na maisha halisi ya kitaa

Jamiiforums kila mtu Ni tajili, msomi, aliejiajiri, mwenye muonekano mzuri, anaemiliki mademu wakali.

Ninakijua nilichokiandika make nimekutana na washkaji watatu waliojinasibu kuwa vizuri kiuchumi hapa jf sikuamini Kama ndio wao.

Tuache kupigana kamba.
 
kwa madem wa viwanja idadi ndogo sana chifu pambana

Sio Viwanja vya walala hoi Mkuu.

Nikienda viwanja vya walala hoi natoka mtupu kabisa. Najua hilo sababu siwezi kupata kile mm nataka.
 
Nilichogundua

Kuna maisha ya Jamiiforums

Na maisha halisi ya kitaa

Jamiiforums kila mtu Ni tajili, msomi, aliejiajiri, mwenye muonekano mzuri, anaemiliki mademu wakali.

Ninakijua nilichokiandika make nimekutana na washkaji watatu waliojinasibu kuwa vizuri kiuchumi hapa jf sikuamini Kama ndio wao.

Tuache kupigana kamba.

Ni kweli aisee! usiamini kila unachokisoma.
Ukiona mtu anakuambia yeye ni Tajiri na wakati huo huo ni muajiriwa na pia ana muonekano mzuri na bla bla bla!
Binafsi sio Tajiri ila vijisenti havinipigi chenga, Sijaajiriwa ila nimejiajiri, Yes! Muonekano mzuri ninao ndicho kitu pekee ambacho kina vutia totoz.
 
Uliposema kipato wastani sana, kwann huo muda usiutumie kutengeneza maisha, by the way kupanga ni kuchagua, hongera kwa takwimu👏👏👏👏👏

Inategemea na ni nini tafsiri ya mtazamo wako wa Kipato cha wasta.
 
Hata mimi ninaunga na wewe mkuu kumuita huyo Jamaa Mpuuzi.

Kwa sababu zifuatazi:-

1. Ametoka na totoz 60, idadi hiyo kubwa inamaanisha anatoka na totoz za viwango vya chini sana, wengi ni majimama, masingo maza, mabonge, na wale totoz wenye stress na ugumu wa maisha. kila mwanaume anaweza. nabidi ajifunze kutoka kwangu maana mimi huwa ninatoka na totoz wakali mno kiasi kwamba hata ukipata bahati ya kutembea na mmoja wao kati ya hao 29 utajiona na utofauti kidogo. totoz wengi wako na umri 20-26.

2. Ukiona anatumia pesa basi ni lazima atakuwa anafanya ujinga kwakuwa mwanaume kamili ni lazima totoz ziwe na hamu ya kukubanjua wewe, na sio wewe ndio uwe mwenye hamu zaidi ya kubanjua totoz. Huyo jamaa anakosa mvuto kama nilio nao mimi ndio maana anatumia pesa kufidia kile ambacho hana. na huo ninaita upuuzi.
Mvulana anajisifia
 
Kwa namna ambavyo unajisifia huo muonekano wako, basi ni dhahiri shahiri nawewe utakuwa mboga ya wahuni...#Wanakugegeda
 
Kwa namna ambavyo unajisifia huo muonekano wako, basi ni dhahiri shahiri nawewe utakuwa mboga ya wahuni...#Wanakugegeda

Kuna namna ya kupata Totoz wakali bila kutumia pesa mkuu.

Hata kama huna sifa nilizo nazo ......kuna namna ya kufanya. kama uko tayari nikupe maujuzi hapa hapa basi sema tu.
 
Wewe jamaa kolo Sana. Yaani unachukua machangudoa alafu unasema wanakukubali muonekano wako? Demu wa club Tena one night stand ni kahaba tuu.

Tatizo hauna exposure mdogo wangu. Unashinda sana uswahilini. Unawafananisha totoz wa viwango vya juu na hao machangudoa wa mtaani kwenu.

Umeona wapi changudoa anakupa papuchi bila kutegemea malipo ya aina yoyote?
Yes. totoz wakali huwa wananipa apple bila kutarajia chochote kutoka kwangu kwasababu mchizi ni bonge la gentleman.
 
Back
Top Bottom