Nimetembea na wanawake 29 ndani ya mwaka mmoja

Hata mimi ninaunga na wewe mkuu kumuita huyo Jamaa Mpuuzi.

Kwa sababu zifuatazi:-

1. Ametoka na totoz 60, idadi hiyo kubwa inamaanisha anatoka na totoz za viwango vya chini sana, wengi ni majimama, masingo maza, mabonge, na wale totoz wenye stress na ugumu wa maisha. kila mwanaume anaweza. nabidi ajifunze kutoka kwangu maana mimi huwa ninatoka na totoz wakali mno kiasi kwamba hata ukipata bahati ya kutembea na mmoja wao kati ya hao 29 utajiona na utofauti kidogo. totoz wengi wako na umri 20-26.

2. Ukiona anatumia pesa basi ni lazima atakuwa anafanya ujinga kwakuwa mwanaume kamili ni lazima totoz ziwe na hamu ya kukubanjua wewe, na sio wewe ndio uwe mwenye hamu zaidi ya kubanjua totoz. Huyo jamaa anakosa mvuto kama nilio nao mimi ndio maana anatumia pesa kufidia kile ambacho hana. na huo ninaita upuuzi.
Naona mnashinda kwa mvuto! Shubamit[emoji125]
 
Tatizo hauna exposure mdogo wangu. Unashinda sana uswahilini. Unawafananisha totoz wa viwango vya juu na hao machangudoa wa mtaani kwenu.

Umeona wapi changudoa anakupa papuchi bila kutegemea malipo ya aina yoyote?
Yes. totoz wakali huwa wananipa apple bila kutarajia chochote kutoka kwangu kwasababu mchizi ni bonge la gentleman.
Tz? Dar? Nitajie viwanja vitano tu vinavokubabaisha and I will tell u their details.
 
Unalolitafuta utalipata.....hakika utalipata. It's just a matter of time... Walikuwepo wengi Kama wewe SAIV wanatubu kwa Mumba wao.
 
Tangu june 2019 mpaka hivi sasa.

Nadhani unaweza kuniita player, ila kusema ukwel warembo wengi wanavutiwa na mimi. Mimi ni mtu wa viwanja sana, hivyo kwa kawaida napata one night stand si chini ya mara moja kwa wiki na warembo ninawadaka sehemu mbalimbali. Yafuatayo ni baadhi niliyojifunza kuhusu wanawake ndani ya mwaka mmoja.

- Hawa wenzetu wana hamu (genye) mara 2 zaidi yetu sisi. wanapenda migegedo mara nyingi iwezekanavyo. nadhani weng wao wako addicted na migegedo.

- Wengi wao walio wazuri kimuonekano hawana akili za kutosha. huwa wanawachukulia wanaume kama mashine za kuwagegeda tu. hawawachukulii wanaume kama watu wa kujihusisha nao kwenye mahusiano ya muda mrefu.

- Uso wako sio jambo la muhumu, lakini muonekano wako wa mwil una mata sana. Ni viumbe vipendavyo kuzingatia muonekano hivyo basi ukiwa na mwili uliojikata vyema unauwezekano mkubwa wa kuwachota. Asilimia 70 ya warembo ninlio gegeda wamesifia muonekano wangu wa mwili.

- Nguo/Mavazi hayajalishi. Pisi kali ambazo nimegegeda nilizidaka nikiwa na mavazi ya kawaida sana.

- Kama wewe unajijua ni mfupi na una sura mbaya wala usijalibu klwenda maeneo ya viwanja kama vile klabu etc kwa sababu uwepo wa mtu kama mimi utakufanya usionekane kabisa na wala kuzingatiwa kabisa na pisi kali.

Jinsi nilivyo:-
Urefu 5'8
Rangi Maji ya kunde
Tabia Mchangamfu wastani.
Kpato Wastani sana yaani.

-
Tupia picha yako tafadhali
 
Hivi 5’8 wamo kwenye kundi la warefu? 😜

Wenzako wana hesabu NAZI,wewe una hesabu MAKUTI.Ulimbukeni wa kijinga kabisa.
 
PESA - Kiasi cha pesa nikitumiacho ni kidogo sana ukizingatia mchizi nina kila kitu ambacho totoz wnapenda.

MUDA - Binafsi ni mjasiriamali wala sio muajiriwa hivyo nina muda wa kutosha wa kusihi maisha ipasavyo.

NGUVU - Nguvu za kiume inabidi tuzielekeze kwa Totoz na sio kwa washkaji wenzetu. au huwa unazielekeza kwa washkaji wenzako?

Bimkubwa nilisha malizana nae kitambo kabla sijaanza kujirusha na starehe. Sijamjengea nyumba, bali nimemjengea Mansion(Sijui kama vijana wa Mwabe pande kama mnajua hata maana ya Mansion). Mimi ndio nilimstaafisha kazi, una uwezo wa kumstaafisha kazi bimdashi? Yes mniga nilifanya hivyo. Muda si mrefu ninamtumia pesa ya matumizi madogo madogo ya wikiend hii kabla sijatoka kuingia viwanja kula mema ya uumbaji wa Mungu.
CHAI.
 
naona hili ndo lilikua lengo lako [emoji23][emoji23][emoji23]

watu wafupi tuna tabu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahahahaha we jamaaaa umewaza nini dah nmecheka sanaaaaaaaa
 
Tangu june 2019 mpaka hivi sasa.

Nadhani unaweza kuniita player, ila kusema ukwel warembo wengi wanavutiwa na mimi. Mimi ni mtu wa viwanja sana, hivyo kwa kawaida napata one night stand si chini ya mara moja kwa wiki na warembo ninawadaka sehemu mbalimbali. Yafuatayo ni baadhi niliyojifunza kuhusu wanawake ndani ya mwaka mmoja.

- Hawa wenzetu wana hamu (genye) mara 2 zaidi yetu sisi. wanapenda migegedo mara nyingi iwezekanavyo. nadhani weng wao wako addicted na migegedo.

- Wengi wao walio wazuri kimuonekano hawana akili za kutosha. huwa wanawachukulia wanaume kama mashine za kuwagegeda tu. hawawachukulii wanaume kama watu wa kujihusisha nao kwenye mahusiano ya muda mrefu.

- Uso wako sio jambo la muhumu, lakini muonekano wako wa mwil una mata sana. Ni viumbe vipendavyo kuzingatia muonekano hivyo basi ukiwa na mwili uliojikata vyema unauwezekano mkubwa wa kuwachota. Asilimia 70 ya warembo ninlio gegeda wamesifia muonekano wangu wa mwili.

- Nguo/Mavazi hayajalishi. Pisi kali ambazo nimegegeda nilizidaka nikiwa na mavazi ya kawaida sana.

- Kama wewe unajijua ni mfupi na una sura mbaya wala usijalibu klwenda maeneo ya viwanja kama vile klabu etc kwa sababu uwepo wa mtu kama mimi utakufanya usionekane kabisa na wala kuzingatiwa kabisa na pisi kali.

Jinsi nilivyo:-
Urefu 5'8
Rangi Maji ya kunde
Tabia Mchangamfu wastani.
Kpato Wastani sana yaani.

-
Taja viwanja vitatu tu unavyovifahamu hapa dar huenda wewe ni wa sigimbi kule songea
 
Kamuulize na dada yako ametembea na wanaume wangapi utuletee taarifa hapa mkuu
 
Safi sana, haya ni mafanikio ya serikali ya awamu ya 5
 
Mimi nataka niwe was 30 nipenda TU wanaume wanaotembea na wanawake wengi...

Tena nitafurahi ukiongeza idadi unakuja kunihadithia...Nakufuata pm
 
Vijana mnapenda kushindana na papuchi,mwisho wa siku wenzenu uzeeni wanahesabu nazi nyinyi mnahesabu makuti.
 
Back
Top Bottom