Mambo.Juha
Kwa mademu wa kumbi za starehe, hiyo idadi ni ndogo sana mkuu. Maana wenyewe nikama bidhaa, wala usidhan wanapenda muonekano wako, nipesa zako wanapenda,
Jitahidi sana kuongeza juhudi ikifuka mahali ukashindwa kujua idadi ya unao watafuna ndio kidogo utakuwa katika levo ambayo iko sawa.
Kuna mambo ya kujisifu sio huo upumbavu..
Una umri gani kwanza?
Hapana, MWAKA un WIKI 52 .
kwanza alowatumia ni wachache sana kuna mpuuzi mmoja ye alikuwa anaandika kwenye Daftari kabisa yaani tangu aaanze huo ujinga kila mwaka anachinja wanawake zaidi ya 60. Naita upuuzi mana maisha yake hayana kitu anachoweza kujivunia kama mwanaume zaidi ya kumaliza hela kwenye huo ujinga.
Faida ulizopata haswa Ni zipi kumzidi aliyegegeda demu Moja? Ukapime ngoma ulete majibu hapa
PoaMambo.
Bado sana jitahidi.. kuna miamba hiyo ni idadi ya mwezi au wiki tatu tuu
Safi sana[emoji122]Kugegeda demu mmoja = Upungufu wa mvuto wa kiume.
Kugegeda demu mmoja = Hatari ya kubambikiwa mtoto asiye wako.
Kugegeda demu mmoja = Kubanjuka mara chache zaidi "ndio maana walio oa wanaongoza kutokuwa na furaha"
Kugegeda demu mmoja = Kuishi kinyume na namna halisi ya kibaiolojia ya mwanaume "A man is a polygamist by nature, and a monogamist by societal"
Kugegeda demu mmoja = Maana yake umeoa "kama umeoa sikushauri ufuate nyayo zangu"
Ukiona una toto mmoja tambua kuwa kuna pahala umepungukiwa na inakupasa upafanyie kazi.
NARUDIA MARA NYINGINE.Totoz 29 zidisha mara wastani wa 20,000 kwa kila totozi weka na gesti 10 kwa kila totozi pamoja na msosi kwa kila totozi fanya 10,000
Jumla ni kama 40,000 kwa kila totoz 1 fanya mara 29=======1,129,000/= aisee badi ndogo sana kazana kazana kijana
Ahahahaa, unalipiwa gharama na demu?? Jitafakari kakaNARUDIA MARA NYINGINE.
Totoz ninazobanjua hazivutiwi na mimi kwa ajili ya pesa zangu au mavazi. Nyingi zinavutiwa na swaga zangu na muonekano wangu wa kibabe. Karibu robo ya hao 29 wameingia gharama wao wenyewe bila kuingia mfukoni kwangu.
Hivi dogo bado mnatumiaga Gesti kuwapeleka totoz huko, fanya hima uondoke kwa mama na uanzishe makazi yako binafsi, Mwanamke anayekubali kupelekwa gesti hana uwezo wa kunifanya nisimamishe dushe hata akiwa mtupu.. mchizi huwa ninawamaliziaga maeneo mabalimbali ikiwamo kwenye BMW langu, VIP Toilets...nikiona vipi huwa ninampeleka Ghetto.
naona hili ndo lilikua lengo lako 😂😂😂Kama wewe unajijua ni mfupi na una sura mbaya usiende viwanja