Nimetembea na wanawake 29 ndani ya mwaka mmoja

Nimetembea na wanawake 29 ndani ya mwaka mmoja

Unajisifia kugonga wadada wa club/ viwanja ambao hawajui kukataa wanaendeshwa kwa pombe tu.

Asilimia kubwa wale wanao jiuza huwa ndo wanakesha club na watoto wa vyuo
 
mzee baba nenda kapime na ukimwi ilo la kwanza la pili nina uzoefu sana na midada ya inayopatina maeneo ya club wengi wao bia moja unatindua sasa unasema umetembea na mademu wengi kwa ilo ni sawa kiufupi mademu uliowagonga wengi tunasema maarage ya mbeya unavuta mkono na kwenda sio wale wanawake wanaojielewa, hapo vipi mkuu
 
Tangu june 2019 mpaka hivi sasa.

Nadhani unaweza kuniita player, ila kusema ukwel warembo wengi wanavutiwa na mimi. Mimi ni mtu wa viwanja sana, hivyo kwa kawaida napata one night stand si chini ya mara moja kwa wiki na warembo ninawadaka sehemu mbalimbali. Yafuatayo ni baadhi niliyojifunza kuhusu wanawake ndani ya mwaka mmoja.

- Hawa wenzetu wana hamu (genye) mara 2 zaidi yetu sisi. wanapenda migegedo mara nyingi iwezekanavyo. nadhani weng wao wako addicted na migegedo.

- Wengi wao walio wazuri kimuonekano hawana akili za kutosha. huwa wanawachukulia wanaume kama mashine za kuwagegeda tu. hawawachukulii wanaume kama watu wa kujihusisha nao kwenye mahusiano ya muda mrefu.

- Uso wako sio jambo la muhumu, lakini muonekano wako wa mwil una mata sana. Ni viumbe vipendavyo kuzingatia muonekano hivyo basi ukiwa na mwili uliojikata vyema unauwezekano mkubwa wa kuwachota. Asilimia 70 ya warembo ninlio gegeda wamesifia muonekano wangu wa mwili.

- Nguo/Mavazi hayajalishi. Pisi kali ambazo nimegegeda nilizidaka nikiwa na mavazi ya kawaida sana.

- Kama wewe unajijua ni mfupi na una sura mbaya wala usijalibu klwenda maeneo ya viwanja kama vile klabu etc kwa sababu uwepo wa mtu kama mimi utakufanya usionekane kabisa na wala kuzingatiwa kabisa na pisi kali.

Jinsi nilivyo:-
Urefu 5'8
Rangi Maji ya kunde
Tabia Mchangamfu wastani.
Kpato Wastani sana yaani.

-
Hongera sana
 
Back
Top Bottom