Nimetembea na shemeji yangu

Nimetembea na shemeji yangu

Aah, kumbe ndio wewe!!! Alishatusimulia kisa chako akasema lazima alipize kisasi kwa jinsi kaka yako alivyomzunguka na mdogo wake akawaambukiza wote wawili virusi halafu akawaacha wote. Alipanga siku nyingi kuwa atamfanyia kaka yako kama kaka yako alivyomfanyia yeye. Ile kukutana na wewe Mlimani City na kukusifia ilikuwa imepangwa ili uingie kilaini kwenye mduara wake.

Alisema pia alichukua mkanda wa video ili amtumie kaka yako. Anasema alitegeshea kamera sebuleni baada ya kuona chumbani hakuna mwanga wa kutosha na picha ilikuwa haoitoki vizuri.
 
So what? Nauliza tena, So what? Hayatuhusu. This is your private business. Korokobashagingilwamakosoro:sick::sick::sick::mad2::mad2::mad2::mad2::target:
 
Sawa tumekusikia....


UNA MIAKA MINGAPI?


WENZIO HUWA TUNAKAUSHA TU.

JAMIIFORUMS NI KAMA DARASANI

KUNA WENYE AKILI KUBWA

AKILI ZA KAWAIDA

AKILI ZA KIWANGO CHA CHINI KABISA


MIMI NAWEWE HATUJUI TUKO KUNDI GANI..
 
Wewe ndiyo mwenye hatia kwa sababu umeenda kwake. Yeye kwake anauhuru wa kukaa au kufanya chochote kile. Ungetumia busara ya kuondoka yasingekukuta hayo, sema inaonesha wote mlikuwa mnatamaniana siku nyingi.
 
Ha ha ha ha ha dudu umekula ww then unatuuliza sisi we ni mkali ha h ha ha
 
Mimi ningekuona una akili kama ungekuja kuomba ushauri kabla hujafanya huo ujinga!

Sasa umeshafanya unataka tukushauri nini?

Hivi kwa mfano ungenyamaza kimya tu bila kuanzisha huu uzi ungepungukiwa na nini?

Aisee kuna watu humu Jf wanafanya server ijae ujinga ujinga tu!
 
Kwa story ilivyo hakuna kukumbuka condom hapo.
 
So what? Nauliza tena, So what? Hayatuhusu. This is your private business. Korokobashagingilwamakosoro:sick::sick::sick::mad2::mad2::mad2::mad2::target:

Teh Teh umepotea sana mkuu
 
Kwa Hapo Hakuna Tatzo Shemeji Yako Ni Mkeo Pia Hvyo Endelea Kukamua Mpaka Mwisho
 
Tamaa mbaya umezini matokeo ni mikosi na kuvuqugika kwa mgpango yako ya maisha.
 
We sema tu ulikuwa una mtaman Shemej yako toka kitambo ulipo pata nafac hyo ukaona ndio vzr kuitumia,Saf sn kijana
 
Utakuta ushaukwaaa UKIMWI subiri miezi mitatu kapime
 
Back
Top Bottom