Nimetembea na shemeji yangu

Nimetembea na shemeji yangu

Yaan upumbavu mtupu mwanaume mzima na akili zako timamu eti unaiambia wana jamii eti ,"nimetembe na shemeji yangu " pumbavu sijui sis tukusaidie nini sasa maana ulitakiwa kuchukua tahadhari mapema lakini anyway kijana subiri miezi mitatu ukapime ngwengwe
 
unaonekana kuwa na upungufu fulani hivi ww nyama zooote zilizojaa buchani umeshindwa hadi ukaokote nyama iliyotupwa?
Hiyo ni laaana inakuandama na kuwa umeanza kula nyama ya mtu basi hutoacha utaendelea tu.

Be careful sio kila king'aacho ni dhahabu huyo mpaka kutoswa na kaka yako kuna jambo.:focus:
 
We sema tu ulikuwa una mtaman Shemej yako toka kitambo ulipo pata nafac hyo ukaona ndio vzr kuitumia,Saf sn kijana

Hapana Yakub Yusuf ni kinyume chake sasa. Kumbuka aliyepiga simu ni shemeji akiomba wakutane. Na yeye ndiye aliyekwenda kuongezea bia ili kumuandaa au wengine wanasema alitengeneza mazingira.
 
Sawa tumekusikia....


UNA MIAKA MINGAPI?


WENZIO HUWA TUNAKAUSHA TU.

JAMIIFORUMS NI KAMA DARASANI

KUNA WENYE AKILI KUBWA

AKILI ZA KAWAIDA

AKILI ZA KIWANGO CHA CHINI KABISA


MIMI NAWEWE HATUJUI TUKO KUNDI GANI..

You have nailed it. Sijui kama ataelewa ulichoandika hapo. Thank you so much my brother/sister.
 
Bora kaka yako alitabiri hilo mapema akaamua kummwaga...
 
Amelipiza kisasi kwa imani kuwa kaka yako ndie kamuambukiza HIV. Dah Mwanamke katili saaana huyo.
 
Kijana usipende sana Papuchi! kwakuwa imekuja yenyewe umeamua kuitandika dah! next time jitahidi kuziavoid hizo hasa hiyo ya x .shemej.
 
Wakuu kuna mambo binadamu unaweza kuyafanya mwisho wa siku ukajikuta unajuta kwa nini umetenda.Ni hivi kaka yangu alikuwa anaishi kinyumba na mwanamke mmoja, waliishi karibia miezi sita wakaachana. Sasa Jumamosi iliyopita asubuhi nilienda Mlimani City kufanya shopping, nikamkuta na shemeji yaangu naye yupo hapo.

Alishangaa sana kuniona hata mie nilistaajabu pia maana urembo wake ulikuwa umeongezeka mara dufu. Akanisifia sana kuwa nimekuwa handsome sana siku hizi, mie niliona kawaida tu.Kabla hatukuwa na mawasiliano yoyote yale, tukapeana namba za simu. Jumapili akanipigia na kuomba tuonane jioni, jioni ile nikachoma mafuta hadi sehemu ya ahadi.

Tuliongea mengi huku tukinywa bia, mida ya saa 2 usiku nikamrudisha kwake, kufika kwake akagoma nisiondoke kwanza. Akaenda kuleta bia kadhaa tukaendelea kunywa tukiwa wawili tu, mida ya saa 4 usiku akasaula nguo zote na kubaki kama alivyozaliwa akidai joto kali. Kwa kweli uzalendo ulinishinda nikaanza kumgegeda kwenye kochi.

Wanajamvi, nani mwenye hatia hapo. Kesho yake nilijuta sana

Nimenote unapenda vya bure..! Jipange. Hivi ww unakuwa kama maharage ya mbeya. Ulimuamin vp Huyo shemej yako. Napita tu...
 
kamua baba kamua kamua babusitumie hirizi...kamuaaax 2

na temba laiimba "utafikili tanesco walijua kua ntaua".
 
mkuu hapo mimi nimenote vitu viwili, Mlimani City na Kudrive

hebu acheni hizo(we na waliokusapoti),milimani city pamoja na kudrive kwa watu walio wengi ni vitu vya kawaida km ilivyo kwako kusema ukapanda daladala.kwetu sisi isvyokuwa kawaida tunapoviona tusihamaki hata wenye kuvizoea wakajiona km ktk kundi hili si mahala pao sahihi.
 
Hakuwa shemeji yako, alikuwa ex hawara wa kakako na sio mke. Uhusiano ulikwisha sasa misifa ya nini?
 
Back
Top Bottom