Second Fiddle
JF-Expert Member
- Dec 9, 2014
- 469
- 122
Mchovya asali,,,,,,,
Usisahahu kumsimulia kaka yako atakuona wewe kidume kwelikweli.
.......na kingine kwamba anakunywa bia haijalishi kanunuliwa na nani. Hongera kwa hadithi yako.mkuu hapo mimi nimenote vitu viwili, Mlimani City na Kudrive
Kaka virusi, shemeji virusi, wewe virusi, anaentoka na kaka yako virusi, anaetoka na shemeji yako virusi, unaetoka nae sijui ni mchumba au mke virusi, yaani vvu tu hadi.........
Hiyo Ni Dalili Tosha Kuwa Kaka Yako Ni JOKA LA KIBISA! Hongera Kwa KUMBANDUA. Napenda Mno Wapiganaji Kama Wewe.
mkuu hapo mimi nimenote vitu viwili, Mlimani City na Kudrive