NaimaOmari
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 801
- 46
Mod Naomba Ufunge Hii Mada Kwa Sababu Inaniletea Taabu Kidogo Katika Maisha Ya Kweli Naomba Radhi Kwa Usumbufu Wowote Uliotokea Kwa Baadhi Ya Watu
Hiyo Sio Tungo Ya Kweli Nimeuliza Tu Ili Kuleta Changamoto
Jamaa hakufanya ngono zembe..
Kwani Ngono zembe maanake nini?Amefanya uzembe gani?Mbona matunda hayo tunayaona ndo mtasema jamaa kafanya ngono zembe?Hapo jamani hajazembea kakaza kapata matunda hayo angefanya ngono zembe huyo binti asinge pata ujauzito.
I did expected this sort of opinion from you sir.Heshima mbele.Kama ana ujauzito hizo ni habari njema and you have to share these fantastic news with your beloved wife! Congratulations.
JTUKIONA PAJA TUJITAHIDI KUZUI HAJA.[/QUOTE said:Kuna wachangiaji humu wamejaribu kuhalalisha kitendo cha kutembea na housegal... kweli yeye ni mwanamke hatukatai... ila nijuavyo kwa wengi hausgeli ni sawa na mtoto wa nyumbani .kWA MANTIKI HII...je, binti yako pia anavutia hivyohivyo kama hausgeli..akipita unapata ideas in the head???We need to hear from the men..
Crooked thoughts!!! yOU CANT BE WRONG AND JUSTIFY IT AS BEING RIGHT!
Hebu jiweke katika position ambapo mkeo aanze kutembea na mchunga ng'ombe wenu just because .........so long as yuko chini ya mamlaka yenu.... lazima kuweka distance hata kama ukiamua kuwa of low morals
sorry ..no offence intended
Kwangu mimi mapenzi hayajali ni aina au cheo chake, kama housegirl au messenger nimempenda haina tofauti na mtu akimpenda mwanamke ambaye ni waziri, balozi, dr au mhadhiri na wakawa wanafanya mapenzi, "love has no limit provided the person is an adult and not blood related"
Mke wangu kama nimeshindwa kumpa haki yake KINDOA NINAVYOPASWA kufanya ampende kimapenzi mchunga ng'ombe HAINA TATIZO MAANA ni haki yake
Haswa!!! WOSubstance.
Ameshindwa kuelewa madaraka yake na responsibility zinazoendana na priviledge ya kuwa na msaidizi.
Nadhani ingekuwa amri ya huyo msichana angeomba kama kweli anapendwa, basi mama aliepo aachwe kwanza ndiyo na yeye aitwe ama wa nyumba, si kupendwa tu kwa kificho.
Anyway, maji yameshamwagika.
La kufanya ni amua kusuka au kunyoa.
Kuomba msamaha kwa mama mwenye nyumba, na kuendelea na maisha yatakayojitokeza baadae,
Au kumuacha mama na kuambatana na msichana.
Yote ni magumu. lakini hana budi.
Maybe kugangamala kama hajafanya kosa!!
unajua shetani ana upendeleo sana, kila wakati huwapitia wanaume tuuu!
Yaani!
Hiyo siku atakapoacha kupendelea , akawapitia wanaume na wanawake kwa kiwango sawa ...basi dunia itawaka moto!
ikatokea siku hiyo shetani kamtembelea mwanawake akaduduz ndogo tu, mwanaume huwa hawaelewi kabisa inakuwaje shetani akampitia mtu na kufanya duduz hata kama yeye jana yake katoka kujitetea kuwa kapitiwa na shetani akarudi nyumbani asubuhi!
Tena wala si lazima hata ifike huko....
Akihisi tu kuwa kuna uwezekano mwanamke anatongozwa...we! Huo moto...labda ni firefighters professional ndo wataweza kuuzima.Maajabu!
Kuna mchangiaji mmoja alisema ati ruksa mkewe ku..na mchunga ng'ombe wao kama akijisikia jamaa hamridhishi.Nilicheka nilipoisoma hiyo post.. maana najua kama ikitokea hivyo basi matusi ya kumdhalilisha mke yatakayotolewa na jamaa itakuwa kazi!
Mwanaume akubali mke kutembea na mfanyakazi wao?? sidhani kama it will happen! kwanza the whole world will judge the woman na watamuuliza " of all the people mchunga ng'ombe?! lakini humu kwenye JF watu wanajifanya status sio ishu!
siku hiyo jua litatokea magharibi
Suala siyo cheo/status..( ........................To me huyu jamaa amefanya kitendo cha dharau kubwa na ameitukanisha nyumba yake na familia yake kwa ujumla!