Nimetembea na ‘house Girl’ wangu na sasa ana mimba

Mod Naomba Ufunge Hii Mada Kwa Sababu Inaniletea Taabu Kidogo Katika Maisha Ya Kweli Naomba Radhi Kwa Usumbufu Wowote Uliotokea Kwa Baadhi Ya Watu

Hiyo Sio Tungo Ya Kweli Nimeuliza Tu Ili Kuleta Changamoto

Shy .. one thing you should understand ni kwamba you are a human being na you are prone to mistakes ..hamna alokamilika ila Mungu peke ... kuna watu wanamadhambi makubwa zaidi hata hapa JF wapo ila hatujuani ndiyo sababu .

I used to think kwamba people here are the very best of advisers but what i can read from this post ni kwamba there is a lot of hatred or dont care attitudes .. why i dont know .. may be its personal sijui ... if one is really in a serious situation here anaweza kukomit suicide immediately ... is this our goal .. what i dont understand ni kwamba are we having fun here or we are for real standing out for each other in order to make a better environment for all of us especially the JF family "if it exists"

Shy ... guess you have also taken this personal .. ujue kwamba duniani kuna watu wa aina mbali mbali na hatufanani ... some people will always give you good advise others wont ... likewise kuna watu watakupenda na wengine watakuchukia for good reason or for no reason at all

Pick what is best for you here and sweep the others under the carpet but DONT GIVE UP
 
Leo umetembea na huyo house girl, hii ina maana hata ukimuoa huyo kama imani yako ya dini inaruhusu na ukamwekea house girl pia utatembea naye. Koma hiyo tabia, tamaa zako unasingizia saa za kurudi mkeo? usimuue bure.

mama Heri
 
mama Heri[/QUOTE]
 
dah hapa wala hakuna cha ushauri mana nikikushauri hata mimi nitafanya vivyo ili nije nipate ushauri!!!!
ila kweli ulifanya ngono nzembe ilitakiwa na wewe utafute kibarua kingine au upige overtym ila kwakua imeshatokea subiri mziki wake tu mambo yakisha kuwa shwari ila huwezi jua usipanic tu kwa sasa.
 
Jamaa hakufanya ngono zembe..
Kwani Ngono zembe maanake nini?Amefanya uzembe gani?Mbona matunda hayo tunayaona ndo mtasema jamaa kafanya ngono zembe?Hapo jamani hajazembea kakaza kapata matunda hayo angefanya ngono zembe huyo binti asinge pata ujauzito.
 
Ama kweli duniani kuna watu!
Yaani huoni kuwa ni ngono zembe?..katika dunia yenye UKIMWI na mimba zisizotarajiwa....bado unashabikia kuwa kafanya vyema?..sawa kampa mimba..hilo kwako linaweza kweli kuwa la heri..na je kama wamepeana UKIMWI bado utashadadia?
Mbona pole wee!!
Miaka ya nyuma.. watu walikuwa wanahofu kubwa sana ya kupata ujauzito baada ya kujiingiza kwenye mambo ya ngono... siku hizi bora hiyo mimba ina nafuu!UKIMWI KIBOKO!
 
la msingi hapa ni kuweka mambo wazi mapema na umwombe msamaha kabla wife hajajua kupitia njia nyingine kwani akijua bila kumwambia moto wake utakuwa mkubwa zaidi. sitisha mahusiano wa kimapenzi na huyo binti ila walee wote wawili mapaka mtoto atakapokuwa umchukue au kama mama yake atataka kuwa naye bac. TUKIONA PAJA TUJITAHIDI KUZUI HAJA.
 
JTUKIONA PAJA TUJITAHIDI KUZUI HAJA.[/QUOTE said:
Kuna wachangiaji humu wamejaribu kuhalalisha kitendo cha kutembea na housegal... kweli yeye ni mwanamke hatukatai... ila nijuavyo kwa wengi hausgeli ni sawa na mtoto wa nyumbani .kWA MANTIKI HII...je, binti yako pia anavutia hivyohivyo kama hausgeli..akipita unapata ideas in the head???We need to hear from the men..
 
Crooked thoughts!!! yOU CANT BE WRONG AND JUSTIFY IT AS BEING RIGHT!
Hebu jiweke katika position ambapo mkeo aanze kutembea na mchunga ng'ombe wenu just because .........so long as yuko chini ya mamlaka yenu.... lazima kuweka distance hata kama ukiamua kuwa of low morals
sorry ..no offence intended

Kwangu mimi mapenzi hayajali ni aina au cheo chake, kama housegirl au messenger nimempenda haina tofauti na mtu akimpenda mwanamke ambaye ni waziri, balozi, dr au mhadhiri na wakawa wanafanya mapenzi, "love has no limit provided the person is an adult and not blood related"

Mke wangu kama nimeshindwa kumpa haki yake KINDOA NINAVYOPASWA kufanya ampende kimapenzi mchunga ng'ombe HAINA TATIZO MAANA ni haki yake
 
Suala siyo cheo/status..( japo nadhani ni material at times)..unapoamua kumpenda mtu... sijui kama hili la kupeana mimba ni mapenzi au ni lust imezaa tunda lusilotarajiwa na ndiyo maana mhusika anahaha kutafuta ushauri.

Ingekuwa ni mapenzi nadhani wahusika wangesherekea na si kutafuta ushauri tena..( i may be wrong pia)....the bottom line is...unapokuwa katika hali ya master and servant kama ya huyu jamaa na hausgeli wake...kinachotokea ni abuse of power and authority.Hajatuambia lakini I suspect huenda hata jamaa amembaka hausgeli na anajua huenda kama siyo mama kupandisha,.. basi jela inamuita.
Kama ishu ni kutokuridhishwa kimapenzi...basi angetoka nje ya nyumba yake na siyo kumalizia kila kitu humohumo...( im not blessing adulterous association though!)
To me huyu jamaa amefanya kitendo cha dharau kubwa na ameitukanisha nyumba yake na familia yake kwa ujumla!
 
Haswa!!! WOSubstance.
Ameshindwa kuelewa madaraka yake na responsibility zinazoendana na priviledge ya kuwa na msaidizi.
Nadhani ingekuwa amri ya huyo msichana angeomba kama kweli anapendwa, basi mama aliepo aachwe kwanza ndiyo na yeye aitwe ama wa nyumba, si kupendwa tu kwa kificho.
Anyway, maji yameshamwagika.
La kufanya ni amua kusuka au kunyoa.
Kuomba msamaha kwa mama mwenye nyumba, na kuendelea na maisha yatakayojitokeza baadae,
Au kumuacha mama na kuambatana na msichana.
Yote ni magumu. lakini hana budi.

Maybe kugangamala kama hajafanya kosa!!
 
Haika,
Its high time hii tabia chafu ikomeshwa kama vijitabia vingine.Kwani Ufisadi tunaoushikia bango humu JF una tofauti na huu??Niliwahi kufanya kautafiti kidogo kuhusu situations kama hizi. Katika familia 10, 6 kati yazo wanaume katika nyumba hizo wana abuse mahousegals. Na kisingizio ati ni kuwa msichana amemvutia, mama mwenye nyumba hatimizi majukumu yake ( kutandika kitanda, kupika, kumtayarishia nguo n.k)mara ohh mama mwenye nyumba anasafiri sana..mara mama anajifanya msomi kwa hiyo yuko argumentative etc.mradi vijisababu lukuki!
Tena basi baadhi ya hawa ma housegals ni watoto under 18 yrs na utakuta baba mhusika ana watoto wake mwenyewe wa umri huohuo!! Je, huyu baba atashindwa kuja kuwarudi wanawe wa kuwazaa mwenyewe?...Kuna akina mama wengine wanasema hawawaamini waume zao hata kwa mabinti zao... yaani wanahisi wanaweza kuwarudi! Jamani tunaelekea wapi??

Kunradhi kina baba humu JF wenye maadili mema...ila kwa wale wenye hivi vijitabia..chondechonde...
 
unajua shetani ana upendeleo sana, mara nyingi huwapitia wanaume tuuu!
 
Yaani!
Hiyo siku atakapoacha kupendelea , akawapitia wanaume na wanawake kwa kiwango sawa ...basi dunia itawaka moto!

ikatokea siku hiyo shetani kamtembelea mwanawake akaduduz ndogo tu, mwanaume huwa hawaelewi kabisa inakuwaje shetani akampitia mtu na kufanya duduz hata kama yeye jana yake katoka kujitetea kuwa kapitiwa na shetani akarudi nyumbani asubuhi!
 
Tena wala si lazima hata ifike huko....
Akihisi tu kuwa kuna uwezekano mwanamke anatongozwa...we! Huo moto...labda ni firefighters professional ndo wataweza kuuzima.Maajabu!
Kuna mchangiaji mmoja alisema ati ruksa mkewe ku..na mchunga ng'ombe wao kama akijisikia jamaa hamridhishi.Nilicheka nilipoisoma hiyo post.. maana najua kama ikitokea hivyo basi matusi ya kumdhalilisha mke yatakayotolewa na jamaa itakuwa kazi!
Mwanaume akubali mke kutembea na mfanyakazi wao?? sidhani kama it will happen! kwanza the whole world will judge the woman na watamuuliza " of all the people mchunga ng'ombe?! lakini humu kwenye JF watu wanajifanya status sio ishu!
 
siku hiyo jua litatokea magharibi
 
Suala siyo cheo/status..( ........................To me huyu jamaa amefanya kitendo cha dharau kubwa na ameitukanisha nyumba yake na familia yake kwa ujumla!

Siamini kuna kubaka ni mapenzi. Ina maana Mkurugenzi/waziri mwanamke akitembea na mfanyakazi wa ofisini kwake atakuwa kambaka?? maana hilo lipo.

Nafikiri unasema ni dharau labda ni kwa sababu alikuwa house girl. Lakini suala la kutembea nje ya ndoa kwa ujumla wake ni dharau "provide" bila kujari umefanya mapenzi na house girl/boy mkurugenzi au waziri wa njia yoyote kama NDOA YENU WOTE mnaiheshimu ndoa yenu na kutimiziana yote yanayotakiwa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom