Nimetembea na ‘house Girl’ wangu na sasa ana mimba

Ndugu sio hii, yaani kila kona ni vilio , vilio na kisa kinachoongoza niichepuko, selfishness, untrust na kadhalika. Honestly Napenda ndoa na ni ndoto yangu tangu Mdogo, but as years go by na Haya ninayoona plus mengine kuyasikia naishia kuaihirisha kila wakati na kuomba more time kifikiria. Anyway ni muda tuu haujafika, Ukifika nitaingia mwenyewe bila woga, au Vipi. Asante!

binti inaonekana una stress sana!
 
Back
Top Bottom