utiyansanga
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 213
- 7
Mimi ni muumini mzuri wa falsafa za "the end justifies the means" kwaiyo kama at the end of the day kitu walichofanya kilimsaidia victim (Msichana) ambaye alikuwa amefanyiwa abuse ya hali ya juu na jamaa yake asifanye kitu cha ajabu kama kujiua etc etc mi naona fresh tu.
Ndugu yangu jambo ulilolifanya sio sahihi kabisa hasa kwa rafiki yako. Wewe sio rafiki wa kweli. Lingine mshauri jamaa yako kuwa yuko na changudoa aachane naye mara moja la sivyo kaburi linanyatia.
U call it PROBLEM but i call it OPPORTUNITY!!!Mara nyingi marafiki wa aina yako huwa wanavizia kipindi ambacho kuna misukosuko katika famili, lengo si kusuluhisha lengo ni ku-take advantage. Huo ni usaliti ndugu yangu. Misemo mingi imetungwa na watu kwa ajili ya kujiridhisha hivyo sio kila kitu au msemo uuonao ndio uwe kama sheria ya kukuongoza. Jaribu kufikiria original ya usemi huo na matumizi yake. Nafikiri utanielewa sasa.
Nina rafiki yangu ambaye tuko naye tangu ljumaa tukata ulabu maeneo ya Boko.
Usiku wa kuamkia Jumapili alikuwa na ugomvi mkubwa na demu wake.
Jamaa akampiga sana mwanamke, hayo yalikuwa yakitokea nyumbani kwa huyo binti.
Binti akanaipigia simu, nikaenda nikamkuta binti kazimba jicho na sura nzima, analia.
Nikakaa na mumbembeleza, nika msponji kisha nikampeleka hospitali.
Tukarudi nyumbani na nikaendelea kumsaidia baadhi ya kazi.
Nlipotaka kuondoka ndio akanishukuru kisha akaniambia let me kiss u good bye.Busu lilikuwa la mdomoni, refu na tamu ile mbaya, si ndio tukajikuta tumepitiliza hadi kwenye utupu. Kucheki pembeni kuna kibox cha KAMASUTRA condoms.
Nikamega bwana bila kuvunga, leo naandaa kikao cha usuluhishi kisha mi natambaa zangu
kanyaga twende hata ingekuwa mke wa kaka yangu nachapa tuu,biashara ya kupiga wasichana imepitwa na wakati na wao wanahitaji mapenzi na kuburudishwa,hongera shujaa ukikutana na mwingine wa hivyo we chapa tuu,hata mimi nachapaga wengi sana wanapenda kuliwazwa hao,na maliwazo yao ni kichapo.
Wewe ni mwongo mkubwa hukutumia condomu nakujua ukizingatia mazingira uliyopewa busu nafasi hukuwa nayo!!!
Mh ndugu, we wakure kwetu nini? Mbona unapenda kupiga hivyo mura.wewe ma huyo binti wote mnastahili kipigo cha mbwa mwizii..........
Una uhakika kuwa demu ni changudoa?