Nimetembea na GF wa rafiki yangu

what goes around, comes around, subiri na zamu yako ya kugongea inakuja, sasa sijui utamlaum nani?
 
Yaaani wabongo mnavyopenda kujisifu na ngono???
 
kuna dada mmoja anaitwa nyangoma aliwahi kuleta mada humu kuwa kagongwa na rafiki wa karibu wa BF wake...... naona nyie mtafutane.....maaan nyote hamna maana
 
what goes around, comes around, subiri na zamu yako ya kugongea inakuja, sasa sijui utamlaum nani?

Nani kakupa stori hiyo? We unadhani ukiwa hugongi madem wengine ndo wako hagongwi? Acheni hizo, Infi is there to stay
 
so kiu imeisha au ukishasuluhisha utaendelea
 
wewe ulisema umeondolewa pepo la pu.n.yeto na kwamba umepata mchumba utafunga naye ndoa baada ya miezi sita, leo unakuja na hili tena, we balaa sana
 
Tunamjaza ujinga, ili aendelee tu na tabia yake hiyo, ili aje kukipata cha mtemakuni

aisee umeniwahi, hata mi nilikuwa nashangaa kwa uziful post gani jamaa wana mcompliment
 
Hukupaswa hata kuleta hii habari unafikiri kuna cha maana ulichokifanya kama si ujinga huo !Ipo siku utamegwa wewe sasa
 

Unaona kitendo ulichokifanya ni sifa hadi uje kujitangaza huku? Kuna maana gani basi ya kuwa na rafiki kama wewe? Wewe ni mnafiki tu na wala hustahili kuwa rafiki. Ni bora tu umwambie ukweli huyo rafiki yako ili ajue wewe ni mtu wa aina gani. Na huo usuluhishi wala haukufai ni bora tu uwaambie watafute mtu mwingine ili awapatanishe.

 
Nadhani wachangiaji wengi tumeshindwa kuangalia mazingira hatarishi nikiwa na maana kuwa wanawake wengi huwa wanatega wenzao na kufanya makusudi maana anapotaka kulipiza kisasi kwa Bf.wake anatafuta mtu ambaye yeye anadhani ni bora na salama kwake kuliko kwenda kuanza mahisiano mapya na pia TABIA YA KUPIGA WANAWAKE SIYO NZURI NI AIBU KWA MAGENT. Wa ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…