au katakuwa kaongo..Yaan toka October unasubiri mambo ya online na akati ungeyafanya hayo mguu kwa mguu sku iyo iyo wangeblock kila kitu na kadi mpya ungeshaipata ndani ya wiki 2
Sasa hujafanya wajanja washafanya yao dah acha uzembe mkuu watu wengine unatia hata hasiraSawa lakini sijafanya transaction yoyote ile iweje nikatwe tu hela?
Late respondent, we differ broItoshe tu kusema jamaa ni mzembe
Nilishawataarifu MkuuUkipoteza kadi piga simu kwanza bank yako waizuie haraka kabla hujafabya mambo mengine.
Kabla ya kwenda polisi piga simu bure kabisa wanazuia hiyo kadi hadi upewe mpya.
Kilichopo alieiokota ameitumia kufanya manunuzi online.
Umechewa sana usiku wote huu utakuja jamaa amekomba kila kitu.
Unapoteza kadi alafu unakaa kizembe hata mi nikiokota kadi lazima nijaribu kununua kitu online labda iwe na pin zile zinazokuja ktk simu ili uthibitishe kwanza tofauti na hapo unaliwa visuri.
Unaongea kitu usichokijua, niimetoka Bank nimewaonesha lost report na wamekiri kuwa walipokea taarifa ya kupotea kwa kadi yangu wanashughulikia hiloWewe mleta mada nadhani una shida flani kichwani. Yaani toka mwezi wa 10 hujaiblock hiyo card? Halafu unauliza kama zuzu eti hujafanya transaction yeyote kwa nini ukatwe hela? Seriously unauliza swali kama hili?
Acha ubishi. Fuata maelezo uokoe hata hicho kidogo kilichosalia. Ukibaki kushangaa ni vipi wanaendelea kodokoa kidogokidogo, utakuta sifuri kwenye akaunti yako.Sawa lakini sijafanya transaction yoyote ile iweje nikatwe tu hela?
Nimebisha nini? Kama sijajisubscribe kwenye huduma yoyote niseme nimejiunga?Acha ubishi. Fuata maelezo uokoe hata hicho kidogo kilichosalia. Ukibaki kushangaa ni vipi wanaendelea kodokoa kidogokidogo, utakuta sifuri kwenye akaunti yako.
Naamini unatania ! Ukinunua kitu online lazima utaje delivery address , na majina kamiii na hapo ndipo utakapodakwa wakiamua kufanya follow upUnapoteza kadi alafu unakaa kizembe hata mi nikiokota kadi lazima nijaribu kununua kitu online labda iwe na pin zile zinazokuja ktk simu ili uthibitishe kwanza tofauti na hapo unaliwa visuri.
Akienda polisi hapo anawez kwanza kuchezea makofii alafu wakamtimuaHalafu mnategemea nchi hii itakuja kuendelea. CCM watatawala miaka 1,000.
Kitatizo kidogo namna hii, kashindwa kutatua, kadi kapoteza tangu mwaka jana mwezi wa 10 hajafuatilia wakati bank yenyewe utopolo ipo kila kona.
Haya pesa ilikatwa kwanza 2,000 lileta mada lipo lipo tu kama bolizozo, wamekata tena 81,000
Badala ya kwenda Bank tena limekuja JF kulialia.
Malezi mengine hasara tu.
Subiri ikikatwa 10M kama imo tena urudi hapa.
Nchi hii kama huna roho wa Mungu kufa masikini ni UFALA.
No wonder kina Magufuli wanafanikiwa
K weweKama mama yako.