Nimetapeliwa Pesa kupitia Account ya NMB

Eti hadi leo, hajachukua kadi mpya??
Na yeye binafsi hajafanya matumizi ONLINE...form kajaza online.

Ati anaomba ushauri! Inafikirisha :D

Everyday is Saturday................................:cool:

Wapi nimesema nimefanya Matumizi Online? Matumizi au manunuzi????

Nimejaza form gani online?

Wewe unaonekana Bendera fuata upepo hata hujui kinachoendelea
 
K
Habarini wadau,

Ninaomba msaada kwa anayeweza kunisaidia, nilipoteza kadi yangu ya NMB bank, nikaamua kujaza loss report tangu Oktoba mwaka jana kwa njia ya online. Niliambiwa kuwa malipo yamekamilika hivyo nikacomfirm polisi, sikwenda ku-comfirm sasa juzi kushinda jana ikanijia meseji kuwa shillingi 2000 imekatwa kwenye kadi namba yangu inayoishia na xxxx lakini baadae hela hiyo ikarudishwa.

Leo usiku huu nimepata tena message kuwa hela yangu 81000/= imekatwa kulipia huduma flani ya Inked in (sio LinkedIn) na Google Tempo. Wakati sijajiunga na huduma yoyote ile ya malipo ya mtandaoni.

Naomba sana mwenye kuweza kunisaidia anipe mwongozo nianzie wapi kwasababu nimetuma msg ya UTAPELI kwenda polisi hawajajibu.

NASHUKURU
Ni hivi mtu akijua namba za card yako na cvv Yani zile tarakimu za mbele na zile tatu za nyuma anaweza kufanya malipo mtandaoni kwa kutumia kadi yako, kuzuia hili Benki ndiyo maana siku hizi ukitaka kulipia ukishaweka details ili kukamilisha muamala wanakutumia code kwenye simu au email ambazo inabidi uziweke kukamilisha muamala, inaelekwa nmb bado wako nyuma security wise
 
Ni ku Disable online payment tu basi hakuna ishu nyingine hapo
Mkuu mimi mara ya kwanza nimekatwa na Google TEMPO mara ya pili imenitokea kwa LinkedIn, na ni member kwa muda mrefu ila sikuwahi kusubscribe kwenye huduma yoyote ya malipo.

Hiyo ya kwanza ilikuwa 2000/= na wakarudisha.
 
Online payment zimekua rahisi hazihitaji ata your password ni card number na CIV
 
Chukua ushauri wa chief hapo wahi asubuhi branch ili wazuie online transactions kwasababu aliyeiokota kadi kaanza kuitumia

Kumbuka ili kufanya transactions online hahitaji passwords ni kuingiza tu account no na zile namba tatu au nne zilizo nyuma ya kadi
Napenda NBC card haina picha wala a/c namba wala jina so hakuna kitu unaweza 8kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wadau,

Ninaomba msaada kwa anayeweza kunisaidia, nilipoteza kadi yangu ya NMB bank, nikaamua kujaza loss report tangu Oktoba mwaka jana kwa njia ya online. Niliambiwa kuwa malipo yamekamilika hivyo nikacomfirm polisi, sikwenda ku-comfirm sasa juzi kushinda jana ikanijia meseji kuwa shillingi 2000 imekatwa kwenye kadi namba yangu inayoishia na xxxx lakini baadae hela hiyo ikarudishwa.

Leo usiku huu nimepata tena message kuwa hela yangu 81000/= imekatwa kulipia huduma flani ya Inked in (sio LinkedIn) na Google Tempo. Wakati sijajiunga na huduma yoyote ile ya malipo ya mtandaoni.

Naomba sana mwenye kuweza kunisaidia anipe mwongozo nianzie wapi kwasababu nimetuma msg ya UTAPELI kwenda polisi hawajajibu.

NASHUKURU
Shkamoo mwalimu
 
Wacha uibiwe sababu vitu vya serious unavichukulia oya oya sasa ulishidwa nn kwenda kwa tawi la hiyo bank?

Watu kama nyinyi akili zenu zipo matak*ni mkienda kunya mnaziacha huko huko chooni
 
Wacha uibiwe sababu vitu vya serious unavichukulia oya oya sasa ulishidwa nn kwenda kwa tawi la hiyo bank?

Watu kama nyinyi akili zenu zipo matak*ni mkienda kunya mnaziacha huko huko chooni
.
 
Back
Top Bottom