Nimetapeliwa Pesa kupitia Account ya NMB

Hujatapeliwa hiyo hela itarudishwa kama ile buku mbili,mwanaume kugangamala na kuamini mi simamo yako.
Wewe kaaa tulia mpaka irudi komaa tu.
 
Ukipoteza kadi piga simu kwanza bank yako waizuie haraka kabla hujafabya mambo mengine.

Kabla ya kwenda polisi piga simu bure kabisa wanazuia hiyo kadi hadi upewe mpya.

Kilichopo alieiokota ameitumia kufanya manunuzi online.

Umechewa sana usiku wote huu utakuja jamaa amekomba kila kitu.
Nilishawataarifu Mkuu
 
Unapoteza kadi alafu unakaa kizembe hata mi nikiokota kadi lazima nijaribu kununua kitu online labda iwe na pin zile zinazokuja ktk simu ili uthibitishe kwanza tofauti na hapo unaliwa visuri.

Wewe ni mwivi... yaani umeokota kadi ya mtu cha kwanza ni kujaribu kuiba, naturally wewe ni mwivi (Mwizi anajifunza ukubwani , Mwivi anazaliwa hivyo).
 
Wewe mleta mada nadhani una shida flani kichwani. Yaani toka mwezi wa 10 hujaiblock hiyo card? Halafu unauliza kama zuzu eti hujafanya transaction yeyote kwa nini ukatwe hela? Seriously unauliza swali kama hili?
Unaongea kitu usichokijua, niimetoka Bank nimewaonesha lost report na wamekiri kuwa walipokea taarifa ya kupotea kwa kadi yangu wanashughulikia hilo
 
Sawa lakini sijafanya transaction yoyote ile iweje nikatwe tu hela?
Acha ubishi. Fuata maelezo uokoe hata hicho kidogo kilichosalia. Ukibaki kushangaa ni vipi wanaendelea kodokoa kidogokidogo, utakuta sifuri kwenye akaunti yako.
 
Acha ubishi. Fuata maelezo uokoe hata hicho kidogo kilichosalia. Ukibaki kushangaa ni vipi wanaendelea kodokoa kidogokidogo, utakuta sifuri kwenye akaunti yako.
Nimebisha nini? Kama sijajisubscribe kwenye huduma yoyote niseme nimejiunga?

However, nipo bank naamini nitasaidika
 
Unapoteza kadi alafu unakaa kizembe hata mi nikiokota kadi lazima nijaribu kununua kitu online labda iwe na pin zile zinazokuja ktk simu ili uthibitishe kwanza tofauti na hapo unaliwa visuri.
Naamini unatania ! Ukinunua kitu online lazima utaje delivery address , na majina kamiii na hapo ndipo utakapodakwa wakiamua kufanya follow up
 
Halafu mnategemea nchi hii itakuja kuendelea. CCM watatawala miaka 1,000.

Kitatizo kidogo namna hii, kashindwa kutatua, kadi kapoteza tangu mwaka jana mwezi wa 10 hajafuatilia wakati bank yenyewe utopolo ipo kila kona.

Haya pesa ilikatwa kwanza 2,000 lileta mada lipo lipo tu kama bolizozo, wamekata tena 81,000

Badala ya kwenda Bank tena limekuja JF kulialia.

Malezi mengine hasara tu.

Subiri ikikatwa 10M kama imo tena urudi hapa.

Nchi hii kama huna roho wa Mungu kufa masikini ni UFALA.

No wonder kina Magufuli wanafanikiwa
Akienda polisi hapo anawez kwanza kuchezea makofii alafu wakamtimua

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom