Nimetapeliwa Pesa kupitia Account ya NMB

Unaongea kitu usichokijua, niimetoka Bank nimewaonesha lost report na wamekiri kuwa walipokea taarifa ya kupotea kwa kadi yangu wanashughulikia hilo
Umetoka bank leo. Sisi tunaongelea ulitakiwa uende bank siku ile umepoteza. ...Hizo hela ulizokatwa wamekuambiaje? Au hata hujauliza?
 
Kumbe kufanya manunuzi online ni rahisi hivi?
Sana mkuu,aliyeokota alikuwa anatest kama anahela ndo maana akafanya manunuzi ya 2000 ,baada ya kuona inakubali ndo akaendelea zaidi,kufanya manunuzi inahitajika namba za card na zile namba 3 tu
 
Habarini wadau,

Ninaomba msaada kwa anayeweza kunisaidia, nilipoteza kadi yangu ya NMB bank, nikaamua kujaza loss report tangu Oktoba mwaka jana kwa njia ya online. Niliambiwa kuwa malipo yamekamilika hivyo nikacomfirm polisi, sikwenda ku-comfirm sasa juzi kushinda jana ikanijia meseji kuwa shillingi 2000 imekatwa kwenye kadi namba yangu inayoishia na xxxx lakini baadae hela hiyo ikarudishwa.

Leo usiku huu nimepata tena message kuwa hela yangu 81000/= imekatwa kulipia huduma flani ya Inked in (sio LinkedIn) na Google Tempo. Wakati sijajiunga na huduma yoyote ile ya malipo ya mtandaoni.

Naomba sana mwenye kuweza kunisaidia anipe mwongozo nianzie wapi kwasababu nimetuma msg ya UTAPELI kwenda polisi hawajajibu.

NASHUKURU
Nenda bank kaifungie hiyo kadi na wakuoe nyingine, na kama unavyopoteza laini, unaifungia simcard ya zamani, na unapewa mpya, namba ile ile
 
Sawa lakini sijafanya transaction yoyote ile iweje nikatwe tu hela?
We jamaa, yeye akishakua na ile kadi, haitaji namba yako ya siri kufanya manunuzi mtandaoni, umeelewa, ni zile namba tu za kadi na ile comfirmation code nyuma ya kadi, inatosha kufanya manunuzi mtandaoni, umeelewa?!
 
Sana mkuu,aliyeokota alikuwa anatest kama anahela ndo maana akafanya manunuzi ya 2000 ,baada ya kuona inakubali ndo akaendelea zaidi,kufanya manunuzi inahitajika namba za card na zile namba 3 tu
Duuh hili ni tatizo. Hatuko salama kama mambo yako hivi. Ni kwa vile tu waafrika wengi hatujachangamka ila wengi tuna ulimbukeni wa kuonesha kadi za benki.

Manunuzi ktk mitandao ipi inaruhusu process simple hivi?
 
Naamini unatania ! Ukinunua kitu online lazima utaje delivery address , na majina kamiii na hapo ndipo utakapodakwa wakiamua kufanya follow up
Ua najiuliza hii kitu uokote kadi alafu uchukue kad number na zile namba za nyuma ulipie je email yako aipo majina yako vipi na google si itaonesha ulipo kiufupi una dakwa tu
 
Umetoka bank leo. Sisi tunaongelea ulitakiwa uende bank siku ile umepoteza. ...Hizo hela ulizokatwa wamekuambiaje? Au hata hujauliza?
Wameniambia nitajaza form ya kuwa refunded kwakuwa nilishakata Lost report na nilishawaletea risiti ya polisi na wamefunga online transaction ya A/C yangu wakaniambia nirequest kadi nyingine mpya itakayokuwa na namba zingine.
 
Wewe mleta mada nadhani una shida flani kichwani. Yaani toka mwezi wa 10 hujaiblock hiyo card? Halafu unauliza kama zuzu eti hujafanya transaction yeyote kwa nini ukatwe hela? Seriously unauliza swali kama hili?
Eti hadi leo, hajachukua kadi mpya??
Na yeye binafsi hajafanya matumizi ONLINE...form kajaza online.

Ati anaomba ushauri! Inafikirisha 😀 🤔

Everyday is Saturday................................😎

Habarini wadau,

Ninaomba msaada kwa anayeweza kunisaidia, nilipoteza kadi yangu ya NMB bank, nikaamua kujaza loss report tangu Oktoba mwaka jana kwa njia ya online. Niliambiwa kuwa malipo yamekamilika hivyo nikacomfirm polisi, sikwenda ku-comfirm sasa juzi kushinda jana ikanijia meseji kuwa shillingi 2000 imekatwa kwenye kadi namba yangu inayoishia na xxxx lakini baadae hela hiyo ikarudishwa.

Leo usiku huu nimepata tena message kuwa hela yangu 81000/= imekatwa kulipia huduma flani ya Inked in (sio LinkedIn) na Google Tempo. Wakati sijajiunga na huduma yoyote ile ya malipo ya mtandaoni.

Naomba sana mwenye kuweza kunisaidia anipe mwongozo nianzie wapi kwasababu nimetuma msg ya UTAPELI kwenda polisi hawajajibu.

NASHUKURU
Kwa matusi haya uliyopata ni heri ukafuta kabisa thread hii kuepuka udhalilishwaji zaidi!
 
Habarini wadau,

Ninaomba msaada kwa anayeweza kunisaidia, nilipoteza kadi yangu ya NMB bank, nikaamua kujaza loss report tangu Oktoba mwaka jana kwa njia ya online. Niliambiwa kuwa malipo yamekamilika hivyo nikacomfirm polisi, sikwenda ku-comfirm sasa juzi kushinda jana ikanijia meseji kuwa shillingi 2000 imekatwa kwenye kadi namba yangu inayoishia na xxxx lakini baadae hela hiyo ikarudishwa.

Leo usiku huu nimepata tena message kuwa hela yangu 81000/= imekatwa kulipia huduma flani ya Inked in (sio LinkedIn) na Google Tempo. Wakati sijajiunga na huduma yoyote ile ya malipo ya mtandaoni.

Naomba sana mwenye kuweza kunisaidia anipe mwongozo nianzie wapi kwasababu nimetuma msg ya UTAPELI kwenda polisi hawajajibu.

NASHUKURU
Hahaaa ilinitokea mkuu mwaka jana mwezi wa 12 nilienda nikalalimika sana kwa nini pesa inachukuliwa bila mimi kuidhinisha? Ilikuwa ni hayo hayo ma Google tample sijui.

Ilividi ni disable online payment
 
Chukua ushauri wa chief hapo wahi asubuhi branch ili wazuie online transactions kwasababu aliyeiokota kadi kaanza kuitumia

Kumbuka ili kufanya transactions online hahitaji passwords ni kuingiza tu account no na zile namba tatu au nne zilizo nyuma ya kadi
Hio haihusiani na kadi mkuu ilinitokea kesi sawa na jamaa kwa asilimia 100, ni haya mambo ya google google ku accept ma vitu bila kujua,

Swala sio kupoteza kadi
 
Unaongea kitu usichokijua, niimetoka Bank nimewaonesha lost report na wamekiri kuwa walipokea taarifa ya kupotea kwa kadi yangu wanashughulikia hilo
Hawa wanao kulaumu ni hawajui kitu, Isha nitokea kesi kama yako, Shida sio kadi, si kwamba alie okota kadi ndo anafanya manunuzi, hakuna kitu kama hicho.

Nazani kuna mambo uli accept bila kujua ndo kinatokea hiki,

Kuokota kadi ya mtu na kufanya manunuzi online sio rahisi hata kidogo
 
Back
Top Bottom