Nimetapeliwa laki moja kwa tamaa zangu mbaya

Kumbe jana nimeingizwa choo cha kike na ujanja wangu wote.

Ilikua hivi nilikua bar alafu nilikuwa mitungi, akaja jamaaa alikuwa na shida ya laki moja ila yeye alikuwa na euro 200.

Kwa tamaa yangu mimi nkachukuaa ilw euro 200 nkampa laki nikjua nimempata.

Leo asubuhi naenda kuichenji kumbe ile hela fafa kanjanja. Ahhhh yani mimi mtoto wa town alafu mjanja nimeingizwa kingi hivi hivi kweli tamaa imeniponza.

Jana nimeingizwa choo cha kike nimeona niwajulishe wanajf humu ili asije mwingine akalizwa kama mimi.

Huu ni urongo furahisha genge. Mbona wakikukamatisha ukuta wakati umelewa husemi ? Mbona wakivunja duka wakati umeangusha gari husemi wakati wewe unaangusha gari mara kwa mara ???
 
hahahaha mkuu unaniuaaaaa
 
Unatapeliwa kindezi halafu unasema eti wewe ni mtoto mjini? samahani mkuu acha kutudharirisha maborn town, rudi kwenu porini ukaongee na nyani.
 
Kumbe jana nimeingizwa choo cha kike na ujanja wangu wote.

Ilikua hivi nilikua bar alafu nilikuwa mitungi, akaja jamaaa alikuwa na shida ya laki moja ila yeye alikuwa na euro 200.

Kwa tamaa yangu mimi nkachukuaa ilw euro 200 nkampa laki nikjua nimempata.

Leo asubuhi naenda kuichenji kumbe ile hela fafa kanjanja. Ahhhh yani mimi mtoto wa town alafu mjanja nimeingizwa kingi hivi hivi kweli tamaa imeniponza.

Jana nimeingizwa choo cha kike nimeona niwajulishe wanajf humu ili asije mwingine akalizwa kama mimi.
Pole sana ila unvyoelezea na uchungu ulio nao kwamba uborntown wako haukufua dafu vimenifanya nicheke kiasi. Ni kweli kabisa mjanja huingizwa mjini na mjanja zaidi. Anyway, asante kwa tahadhari, nipo macho!
 
Unatapeliwa kindezi halafu unasema eti wewe ni mtoto mjini? samahani mkuu acha kutudharirisha maborn town, rudi kwenu porini ukaongee na nyani.
Wewe jitape tu Nyanidume. Ipo siku utakutana na mjanja atakayekunasa kirahisi sana kuliko huyu aliyeleta kisa chake hapa.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe jana nimeingizwa choo cha kike na ujanja wangu wote.

Ilikua hivi nilikua bar alafu nilikuwa mitungi, akaja jamaaa alikuwa na shida ya laki moja ila yeye alikuwa na euro 200.

Kwa tamaa yangu mimi nkachukuaa ilw euro 200 nkampa laki nikjua nimempata.

Leo asubuhi naenda kuichenji kumbe ile hela fafa kanjanja. Ahhhh yani mimi mtoto wa town alafu mjanja nimeingizwa kingi hivi hivi kweli tamaa imeniponza.

Jana nimeingizwa choo cha kike nimeona niwajulishe wanajf humu ili asije mwingine akalizwa kama mimi.

Wewe unatuaibisha bana, Warangi ni very inteligent, hatuibiwi kirahisi kiasi hicho.
 
kweli tamaa mbaya sana
mrangi, wewe unaita hii hali ya kutapeliwa 'tamaa mbaya?' Mtazamo wangu ni tofauti.Binadamu tumeumbwa na hulka ya kupenda 'extra gain' yaani kupenda kupata cha ziada, ndo maana tunafanya biashara - unanunua kwa 1000 unauza 1500 au 3000. Ndo maana tunalima, -unapanda kilo 10 za mahindi unavuna kilo 5000. Hii hulka ya kupenda kupata faida ndio hutumiwa na matapeli kutuingiza mjini na wataendelea kufanya hivyo mpaka hapo tutakapobadilisha hulka hii na sidhani kama itatokea hivyo. Kwa hiyo tutaendelea kuumia kwenye mikono ya matapeli.Na ikitokea kutapeliwa, usiite ni tamaa mbaya!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom