Nimetapeliwa laki moja kwa tamaa zangu mbaya

Dot com bwana mnashangaza sana, sijui kwa nini Wa mjini siku hizi mnazidiwa hadi na wakulima? Sasa wewe nawe ina maana gani kung'ang'ania mjini wakati uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo kiasi hicho?!! Mdogo wangu rudi tu kijijini, mjini hapakufai! Yaani unaibiwa kizembe kiasi hicho utafikiri ndo umetoka leo Mliyayoyo?
 
Pole sana ....

Nimependa ujasiri ulioufanya kukubali tamaa imekuponza
 
Kumbe jana nimeingizwa choo cha kike na ujanja wangu wote.

Ilikua hivi nilikua bar alafu nilikuwa mitungi, akaja jamaaa alikuwa na shida ya laki moja ila yeye alikuwa na euro 200.

Kwa tamaa yangu mimi nkachukuaa ilw euro 200 nkampa laki nikjua nimempata.

Leo asubuhi naenda kuichenji kumbe ile hela fafa kanjanja. Ahhhh yani mimi mtoto wa town alafu mjanja nimeingizwa kingi hivi hivi kweli tamaa imeniponza.

Jana nimeingizwa choo cha kike nimeona niwajulishe wanajf humu ili asije mwingine akalizwa kama mimi.

rudi kwenu kondoa mjini hukuwezi wewe!
 
Dot com bwana mnashangaza sana, sijui kwa nini Wa mjini siku hizi mnazidiwa hadi na wakulima? Sasa wewe nawe ina maana gani kung'ang'ania mjini wakati uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo kiasi hicho?!! Mdogo wangu rudi tu kijijini, mjini hapakufai! Yaani unaibiwa kizembe kiasi hicho utafikiri ndo umetoka leo Mliyayoyo?

Mkuuu umenisemea aiseee, wakulima siku hizi ni wajanja kushinda borntown
 
Umeona Mkuu eeh?

Kuna dogo mwingine nilikuwa naishi naye wakati nikiwa chuo, yaani yeye ni born town kabisa tena jijini kwenyewe, lakini alivyokuwa anatapeliwa kirahisi mpaka unamhurumia kwamba kwanini ulimwacha akaenda mjini peke yake? Yaani kwa ufupi hata mkulima aliyeshuka leo kutoka Mliyayoyo hawezi kutapeliwa kirahisi vile! Sasa huyu ndugu yetu naye eti anapewa Euro garasa na bado anakuja hapa kutamba eti ni born town?!! Hovyo kabisa!!
 
Dot com bwana mnashangaza sana, sijui kwa nini Wa mjini siku hizi mnazidiwa hadi na wakulima? Sasa wewe nawe ina maana gani kung'ang'ania mjini wakati uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo kiasi hicho?!! Mdogo wangu rudi tu kijijini, mjini hapakufai! Yaani unaibiwa kizembe kiasi hicho utafikiri ndo umetoka leo Mliyayoyo?

kaka unakufahamu ulilayoyo, tehe tehe natarajia kwenda kuvuna mahndi huko
 
Dot com bwana mnashangaza sana, sijui kwa nini Wa mjini siku hizi mnazidiwa hadi na wakulima? Sasa wewe nawe ina maana gani kung'ang'ania mjini wakati uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo kiasi hicho?!! Mdogo wangu rudi tu kijijini, mjini hapakufai! Yaani unaibiwa kizembe kiasi hicho utafikiri ndo umetoka leo Mliyayoyo?

Jamaa katapeliwa sbb anatoka mkongotema
 
Back
Top Bottom