mambo ya udini yapo sana na si kwa dini mmoja zote tu hasa wakristo na waislam angalia hata humu ktk JF watu wanakomalia UDINI MNO hadi inatisha watu wanazungumzia KADHI wajinga wanageuza wanazungumzia kukatana mikono, mashetani nk na matusi kibao je wenye DINI yao wanafurahia? si wapo? siwamo humu JF, Si wanasoma??
Ndio maana hayo mambo ya udini yanaongezeka. mzee makamba amewahi nena `mazungumzo mabaya huharibu tabia njema`sasa km kadhi ni neno baya sawa lakini km sivyo lizungumzwe vema km wakristo watarumia majukwaa km haya kutukana wenzao na wenyewe watatumia mbadala ndo hayo sasa!! sasa ajabu ni nini?????