kwani unajua alikuwa wapi siku hiyo unataka ajigawe mara ngapi shangaa ya mbowe na slaa kushindwa kwenda kwenye mazishi ya mama ake zito badala yake wakaenda kwenye mikutano ya siasa.
Katika vyombo vya habari karibu vyote siku ya Jana viliripoti juu ya Bomu la kurushwa Kwa mkono lililoripuka Zanzibar juzi usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kadhaa kujeruiwa.
Kwa nchi yenye kujali utu na amani ya nchi, nilitegemea amiri jeshi Mkuu Wa nchi angefika aneo husika kuwajulia hali majerui na kupata taarifa ya tukio zima.
Jambo la kushangaza mheshimiwa rais ameenda kuzindua video za wasanii.
Binafsi ikanifanya niwaze mambo yafuatayo:
(a) rais wetu masuala ya Zanzibar hayamuhusu Kwa sasa
(b) Nchi imeshazoea hali ya mabomu Zanzibar na sehemu nyingnezo za nchi hivyo kuripuka kwa Bomu hakuzuii maisha mengine kuendelea
(c) Rais Wa jamuhuri ya muungano Kwa sasa si amiri jeshi Kwa upande Wa zanxibar .
Binafsi nmewaza hayo kama nmekosea naomba pia nkosolewe Kwa staha ninayostahiki kama binadamu.
Naomba kuwasilisha.
gongo zimeharibu vijana tunaletewa mada za kilevi sasa.
Mna Rais wenu,Bendera yenu,Katiba yenu,Bunge lenu na hivi sasa Rais wenu anapigiwa mizinga kama amiri jeshi mkuu bado mnataka JK ahusike na bomu lenu la utata.
Au hujui huko ni nchi jirani, JK anakuja kama mgeni.?
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha! Ukawa wakiona hivyo matumbo joto.Umesema vyema. Ile ni nchi, ina rais na geshi rao. Serikali mbili oyeeeeeee
Mkuu acha ujinga wa kutuletea udini humu.sipati picha hili bomi lingetupwa karibu na kanisa ama mkristo ndo angeuwawa na wengine kujeruhiwa,vyombo vya habari vyote vingelalama,maaskofu na wachungaji wangetoa matamko,serikali ingekuwa busy kuanzia raisi mpaka mkuu wa polisi mapaka FBI,tuache unafiki tuwahudumie raia wote kwa mizani sawa
sipati picha hili bomi lingetupwa karibu na kanisa ama mkristo ndo angeuwawa na wengine kujeruhiwa,vyombo vya habari vyote vingelalama,maaskofu na wachungaji wangetoa matamko,serikali ingekuwa busy kuanzia raisi mpaka mkuu wa polisi mapaka FBI,tuache unafiki tuwahudumie raia wote kwa mizani sawa
Wewe una ujinga ulio pitiliza.Lakini kwani huyo Rais mmoja Shein hawatoshi tu hadi tuwaongezee na JK? Mabomu si huwa mnajitoa muhanga wenyewe sasa mnataka nani aje tena?
Balozi wetu huko Zanzibar ni Lukuvikwani balozi wa Tz huko Zbar ni nani!?
sipati picha hili bomi lingetupwa karibu na kanisa ama mkristo ndo angeuwawa na wengine kujeruhiwa,vyombo vya habari vyote vingelalama,maaskofu na wachungaji wangetoa matamko,serikali ingekuwa busy kuanzia raisi mpaka mkuu wa polisi mapaka FBI,tuache unafiki tuwahudumie raia wote kwa mizani sawa
Ubongo,ova. Na wewe unafikiria kutumia nini,ova!.Unafikiria kwa kutumia nini wewe?
Ova
Labda Wakristo hawajazoea kulipuana mabomu ktk nyumba za ibada .Sijawahi kusikia mkristo gaidi kalipua au kajitoa mhanga ktk nyumba ya ibada
Read between the lines. Bomu la Arusha lilivyorushwa Rais alikuwa anazindua albam?